Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ€­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nicxie , imagine hii ndio wanatuambia ndio nchi pekee in the whole of Africa yenye asali na maziwa πŸ€­πŸ™Œ...
 
Village life in Kenya is way worse than this
πŸ˜‚πŸ˜‚tofauti ya sisi na nyinyi nikuwa tunajua na tuna expose challenges zinazo face nchi yetu ili kupush serikali iwajibike, on the other hand nyinyi mko In denial mnaficha na hamkubali challenges mnazo pitia Kama nchi that's why hua mnapatwa na hasira nyingi sana mkiwa exposed. while sisi mki post mashida yetu hatustuki cause hizo habari ni sisi wenyewe tumezifuchua.
 
Toka mlipoanza kupush kitu gani kimebadilika,unga umeshuka bei?
Unemployment rate imeshuka?
Utitiri wa slums umepungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…