Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shika! Ingiza moja two times a day kwenye tako, labda utajihisi nafuuπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Na hawa wako wapi?πŸ€­πŸ˜‚πŸ€£πŸ™ŒView attachment 3475056
Ndo maana tunakuambia Huna akili picha za miaka 2013 miaka 12 iliyopita kipindi hicho hakuna mifumo ya maji unataka kuleta Leo 🀣🀣🀣🀣


Nyinyi mpaka leo bado mnahangaika na madumu

View: https://youtu.be/GyHHaaFD400?si=SNxSVrOuUqrHEWph
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚wow! Picha za 2013πŸ‘πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • hqdefault.jpg
    19.5 KB · Views: 38
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚wow! Picha za 2013πŸ‘πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 3475076
View attachment 3475078
Mbona unakwepa picha zote unazoleta hazina validity kwa sasa weka source ya picha yako
Tuko hapa hii picha umesema ni current acha kurukaruka kama mkojo wa asubuhi.
Sasa tuambie hii picha uliyoleta ni ya mwaka 2025?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…