Nikiwaonyesha soft money mnalia, nikiwaonyesha hard money pia unalia.Noma, yeye atakuja na karatasi za ku download mitandaoni akuambie amewekeza, kumbe anawekeza kwenye betting kama data zinavyosema asilimia kubwa ya vijana wa kenya wawekezaji wa kwenye sports betting.
Hizo ni edited screenshots, kwani hujaigundua ukora za huyo Maasai?1M kenya shillings pekee ndio zinakutia kichwa
Hiyo Kiambu, wala siyo Mbali na Nairobi.Ukisikia Singapoor ya Kenya ndio hiyo sasa😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=lWksItwpdSg
Cc: Mimi Wewe Yule
Mamtoni kabisa hapo kakaKama mbele mwanangu 😘😘😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kenya also left an automatic Gold in the men’s 1500 after the hottest runner in the world at the moment Phanuel Koech was tripped in the first round and never reinstated despite Kenya protesting. We still got Bronze but nobody would have touched Koech . He’s the next superstar in the making and only 18 ( broke world junior record 2 months ago). Remember that name . Also the best steeplechase runner from last year Amos Serem was injured and missed Tokyo. His younger brother Edmund got the Bronze . That’s another potential Gold . See y’all in 2027 in Beijing China . Last time Beijing hosted the games, Kenya won the overall medal haul.What sport is Tanzania known for?
View: https://x.com/SuperSportTV/status/1969715451065172459?t=dHsL2owVvvuh1ZQsUkd3PA&s=19
We are history makers.Kenya also left an automatic Gold in the men’s 1500 after the hottest runner in the world at the moment Phanuel Koech was tripped in the first round and never reinstated despite Kenya protesting. We still got Bronze but nobody would have touched Koech . He’s the next superstar in the making and only 18 ( broke world junior record 2 months ago). Remember that name . Also the best steeplechase runner from last year Amos Serem was injured and missed Tokyo. His younger brother Edmund got the Bronze . That’s another potential Gold . See y’all in 2027 in Beijing China . Last time Beijing hosted the games, Kenya won the overall medal haul.
Haziwezi nitia kichwa.1M kenya shillings pekee ndio zinakutia kichwa
Si ndio hawa wapuuzi wanajikuta wanajua mtu anawafanyia hivyo. Ukute huyo msomali pia anakaa Eastleigh
MAx alisema bado wako kwenye majaribio.Damn JF mkifanya changes tupeni na mwongozo sasa tutachekaje nyang'au ukitaka kucheka unampa like
Emojis zetu ziko wapi
Moderator Paw Maxence Melo
Msenge wewe, yn picha yangu mwenyewe alafu useme nimetoa kwenye mtandao? Hiyo screenshot ni kwasababu nimeficha baadhi ya maeneo for personal security, sisi watu wa airport haturuhusiwi kuweka picha mitandaoni humu, kama unaweza ku edit bila ku take screenshot sawa.Wewe ndio huna akili coz you think we can't see what you posted here ni screenshot. Nimekupa hadi ushahidi ya ile comment yangu that you took a screenshot lakini bado unapiga kelele. Ulipjga screenshot kutoka Jamii Forum. Zile za kwanza ulipiga screenshot kutoka YouTube
Wewe fala kaweka screenshot ya zaidi ya milioni 100tzs piga hesabu ni ksh ngp alafu tuoneshe na wewe a/c yko, ikifika 5m naondoka jf.1M kenya shillings pekee ndio zinakutia kichwa