Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naipori surrounding with slums,yan hiyo aikwepeki hata kidogo,biggest slum in the world ipo hapo naipori hata ww unajua,binafsi ningekua mkunya hizi za swaga za kuponda miji ya watu wala ningeziacha kabisa
 
Naipori surrounding with slums,yan hiyo aikwepeki hata kidogo,biggest slum in the world ipo hapo naipori hata ww unajua,binafsi ningekua mkunya hizi za swaga za kuponda miji ya watu wala ningeziacha kabisa
But according to World only 40% of Kenyans live slums while 70% of Tanzanians also live in slums.

 
"Bro, kusema Nairobi nyumba ni self-contained ni kama kusema Kibera ni well-plannedβ€”ni uongo mtupu." 🀣🀣🀣🀣

Kijana wa Tandale, unataka Nairobi ifanane na Dar kwenye hili swala? Nairobi hakuna pit latrines kama huko kwenu Dar. I have never used a pit latrine in my entire life in Nairobi. Si majigambo, it's the truth. Huku watu wanatumia choo za ndani. Ask anyone who has ever been to Nairobi, they'll tell you so. Stop forcing issues here. Hata hiyo Mathare unataja hapa nyumba ziko na choo na bafu ndani. Personally, I have never set foot in Kibera but I think it's the only place you'll ever find a pit latrine (not sure about this though).

And did you mention a UN-Habitat report? How about this World Bank report? Does it ring a bell?



We are not pretending. We are just stating facts. Hard facts that you do not like. Everytime we share those facts here, you come out guns blazing, with some of you even going as far as using abusive words and discrediting everything. But must we force you to agree with everything? Absolutely not!

Of course Kenya ni masikini, just like most African countries. No where did we say we aren't poor. That is your own creation. But we are not as poor as our neighbours, your country included. We've shared data here on poverty from WB and IMF, all placing Tanzania ahead of Kenya in poverty rates. But guess what? Tanzanians discredit such reports saying they are half baked truth. But do we even care? πŸ₯±πŸ₯±


Of course there's nothing special about Kenya. We are just an African country facing a host of challenges, just like most African countries do. Why you think we should be special is your own problem, not mine, or any other kenyan's for that matter.
 
Naipori surrounding with slums,yan hiyo aikwepeki hata kidogo,biggest slum in the world ipo hapo naipori hata ww unajua,binafsi ningekua mkunya hizi za swaga za kuponda miji ya watu wala ningeziacha kabisa
You talking of slums in Nairobi while your city is one big sprawling slum from east to west and north to south! Isn't this the face of your entire city?


The biggest slum in the world?🀣🀣🀣. Where did you get that info from bongolala? You've definitely hit panic mode
 
Hii sehemu ya Nairobi nyang'au akina Teargass wanajaribu kadri wawezavyo kuficha, ha ha haπŸ˜‚

Cc: Mimi Wewe Yule
Wao kila siku wanapost uswazi wa Dar ilihali wanajua kabisa uswazi wa Dar ni bora mara 100 ya slums zao za Nairobi. Haya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mazingira yenyewe sasa
 
Just show them this.

 
Mbona huwa hawataji na kuonesha hizo slums zilizopo Dar!
Wanasahau kuwa biggest slum in Africa na duniani yapo Kenya. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anadhani kwenda Google earth na ku zoom out kutaweka slums Dar.
 
Hapa East Africa hakuna sehemu inazidi Kenya kwa slums wewe Mkundustan. Kenya mna slums level moja na India na Nigeria. Kenya haijalishi uende wapi, South, East, West au Central kote ni slums tu, ukienda North ni ukame na njaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Angalia Nairobi ambayo mnaita world class city 🀣🀣🀣


Achana na Nairobi twende Mombasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nchi nzima imejaa nyumba za matope na mabati na mko hapa mnatrash Tanzania. Kwenye hili suala la slums Kenya mko juu sana.
Kama unabisha nenda YouTube search slum in Tanzania (2024/2025) uone, halafu search slums in Kenya (2024/2025) ndio uone tofauti ya Jua na mwezi. Haki ya Mungu, hakuna slum chafu kama Kibera hapa East Africa 🀣🀣🀣

Hebu angalia hawa watu wanaoishi hapa, hivi wana future kweli hawa? Nchi za Africa zina watu masikini lakini Kenya mmezidi kwa kweli πŸ˜‘πŸ˜‘

View: https://youtu.be/6rIV8TlrbLQ?si=nq3I4O_8m7bj2ppO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…