babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Kweli, Pipeline ni slum. Kuna video ilipostiwa humu jinsi Pipeline ilivyo, despite maghorofa ni pabaya na pachafu. Watu wanaishi mazingira machafu kama nguruwe, takataka zimejaa, chini kuna tope jeusi limechanganyika na majitaka, Na majitaka yanatoka vyooni pia maana yake hayo ni mavi so kuna risk kubwa ya kipindupindu (cholera) ukiishi pipeline.
Hebu angalia na hii. This is not a way human beings should live ๐คฎ๐คฎ
View: https://youtu.be/0B_vZCLDs-M?si=BDLanziot3KCMHgF
Hiyo coverphoto hapo inapotosha mzee, nilitaka nishangae tangu lini Tanzania ikafanana na Kenya, maana hiyo slums iliyowekwa kwenye cover hapo inafanana na slums za Kenya ๐๐๐In this era of Technology huwezidanganya mtu๐๐๐คฃ.
Now 70% of Tanzanians live like this๐๐๐๐
View: https://youtu.be/28W_1Ct_uyk?si=f0tLRke87Jd0UALM
Hujiulizi mbona huwa wanapost picha za upande upande! ๐๐๐Nimependa hii picha. Kumbe nyuma ya CBD wameficha hizi takataka kwenye slope ๐๐๐
70% Tanzanians live in slums, 40% of Kenyans live in slums.Hiyo coverphoto hapo inapotosha mzee, nilitaka nishangae tangu lini Tanzania ikafanana na Kenya, maana hiyo slums iliyowekwa kwenye cover hapo inafanana na slums za Kenya ๐๐๐
Nilivyofungua video nimeona informal settlement zilezile tu za uswazi ambazo bado ni 100 times better than Uthiru na Mathare, let alone Kibera ๐๐๐
Hawa watu nchi yao ya ajabu sana. Huwa najiuliza hivi inakuwaje nchi nzima imejaa njaa, umasikini na slums halafu wametuzidi GDP. Sipati majibu kabisa. Ni masikini mno hawa mbwa ๐๐๐Wana slums kila county. ๐๐๐
Ni vyema kujifariji ๐๐70% Tanzanians live in slums, 40% of Kenyans live in slums.
Unafikiri ana hiyo akili ya kujua hiyo ni cover photo imetumika kuvutia wajinga kama yeye. ๐๐๐Hiyo coverphoto hapo inapotosha mzee, nilitaka nishangae tangu lini Tanzania ikafanana na Kenya, maana hiyo slums iliyowekwa kwenye cover hapo inafanana na slums za Kenya ๐๐๐
Nilivyofungua video nimeona informal settlement zilezile tu za uswazi ambazo bado ni 100 times better than Uthiru na Mathare, let alone Kibera ๐๐๐
Are you ready to accept the truth?Ni vyema kujifariji ๐๐
Majority of Tanzanians wanaishi countryside, huku watu wapo vijijini wanalima, wanafanya kazi ndio maana huku hatuna njaa
Sasa hiyo 70% of Tanzanians wakiwa wanaishi kwenye slums nani sasa anakaa kijijini kulima ๐๐๐
Akili za kuambiwa changanya na zako
Huna hata pesa ya kuangalia video scammer hii. I can also see you like free things๐๐Unafikiri ana hiyo akili ya kujua hiyo ni cover photo imetumika kuvutia wajinga kama yeye. ๐๐๐
Cape Town SA.
View attachment 3479261
Lazima mzoee tu, maana huwa mnaleta picha za Dar za 2009. Unataka tukae kimya? Una matatizo ya akili ama ๐๐๐Haya ya kukataa picha za Dar na kutaja miaka mbona tushazoea?
Hata hii naona ni ya 2009. Piga sasa nduru kabisa.Lazima mzoee tu, maana huwa mnaleta picha za Dar za 2009. Unataka tukae kimya? Una matatizo ya akili ama ๐๐๐
Wewe naye kila muda "scammer" "scammer", Huna hoja ya msingi ๐ฎ๐ฎHuna hata pesa ya kuangalia video scammer hii. I can also see you like free things๐๐
Jamaa ni Scammer. I will continue to remind him of his long life career.Wewe naye kila muda "scammer" "scammer", Huna hoja ya msingi ๐ฎ๐ฎ
Anatumia kama kivuli ili asioneshe bank balance au bank statement yake. ๐๐๐Wewe naye kila muda "scammer" "scammer", Huna hoja ya msingi ๐ฎ๐ฎ
Yeah, hii video. Halafu wanaanza kukataa eti pipeline sio slum ๐๐๐
Angalia nyuma ya CBD yenu ๐๐๐
Haya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima ๐๐๐
Mazingira yenyewe sasaView attachment 3479168View attachment 3479169View attachment 3479170View attachment 3479171View attachment 3479173View attachment 3479174View attachment 3479175