Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Construction boom is not only in Nairobi but Kenya mzima.

Ground Breaking for this magnificent project happened today in Kisumu. Project to take 18 months and it will comprise 4 towers of 15 floors.

 
Juu Kenya iko na affordable housing so all over sudden Tanzania pia iko na affordable housing?
Kenya mna project nyingi zaidi za Affordable Housing kwa sababu wengi wenu mnaishi kwenye slums, so you need more projects like this than we do
 
Nilijua tu utakuja na hizi fake data πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa nikuulize wewe, what's the percent of Tanzanians living in urban areas? Tafuta jibu halafu ndio uone vile ulivyo fala
Urbanisation in Tanzania is 39% ya Kenya is 23%. Now calculate 70% of 39% of 70M Tanzanians Vs 40% of 23% of 53M Kenyans alafu utuambie answer yako ni nini.
 
hii ndio nchi ukiwaskia hapa utasema wako europe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»

 
Urbanisation in Tanzania is 39% ya Kenya is 23%. Now calculate 70% of 39% of 70M Tanzanians Vs 40% of 23% of 53M Kenyans alafu utuambie answer yako ni nini.
population tanzania ni 63 na kenya ni 58 wala usiwadanganye watu hapaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…