Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hii miaka yako yote bado unaturingia a 20k seater stadium? Hizi tunajenga in every county huku Kenya na hatupigi kelele. Stadium enyewe inajengwa msituni sijui mlikuwa mnatarijia nyani na tumbili ndio waitumie?
hebu onyesha quality stadium ya 33K seaters hapo Ukunduni!
 
Remember this is you? Maji ni kama simu kwako. The only contact between water and you ni kwa supu pekee.

Ona vile mkono imeparara🀣🀣🀣
View attachment 3487414
Uchafu upo wapi hapo maku,hivi ushawahi hata kuishika iphone 15 pro max,ushawahi kumiliki dslr camera,uoni hata aibu kujilinganisha na mimi we chokoraa
 
Uchafu upo wapi hapo maku,hivi ushawahi hata kuishika iphone 15 pro max,ushawahi kumiliki dslr camera,uoni hata aibu kujilinganisha na mimi we chokoraaView attachment 3487429View attachment 3487430
Mbona nijilinganishe na chokoraa? You are filthy dirty my friend. Look at your hands, when last did your face last saw water? Na juala unafanya nayo nini wewe chokoraa? Ama hujatosheka kuomba bangi? Ndio maana uko na pair moja ya kiatu.

 
Nenda kwenye project ya talanta kama utakuta negative comments za TZ,then njoo uone comments za kunyan kwenye samia stadium,ndio utajua kunyan wana wivu kiasi gani
Mkiambiwa ukweli mnasema ni negative comments. Watanzania na ukweli ni kama maji na mafuta.
 
Nenda kwenye project ya talanta kama utakuta negative comments za TZ,then njoo uone comments za kunyan kwenye samia stadium,ndio utajua kunyan wana wivu kiasi gani
Wanajulikana! Vitu vidogo vina wa-excite sana sasa wanapofanya tunavifanya at easy, roho inawauma na wanajaribu ku-undermine kinachofanyika! Eti wanadai ati ni 20,000 seats stadium! Ngoja kitu kiishe halafu wajikute wana stadium inafanana na yetu yet wametoa $400 mln!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…