kwahiyo train ilisukumwa na kitu gani ikatoka kwenye reli? niambie wewe msomi ๐Sasa ni centrifugal force ndio iliangusha train. ๐คฃ๐คฃ Nilikuambia wewe ni pumbavu urudi shule hutaki kuskia. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Reli yenu ndio dhaifu. We told you our Chinese first class rail was better than your AREMA mkipinga hapa like your lives depend on it.kwahiyo train ilisukumwa na kitu gani ikatoka kwenye reli? niambie wewe msomi ๐
Sasa wapi Raha hapo? Ama kwa Sababu umebebwa na pikpiki?Hakuna raha kama kuishi Dar es Salaam: hakuna!
View attachment 3493013
Dar ni jiji zuri sana. Lina kila kitu, ndio raha ya kuishi Dar hiyo. Jiji tamu sana hili ๐ฅ๐ฅSawa wapi Raha hapo? Ama kwa Sababu umebebwa na pikpiki?
Ni Nani Yule Alisema iko na track ?.. must have been high on crack ..๐๐Kuna mwenye akisema hautafanana na render๐
Hii unafaa ujibu mwenzako mwenye ameshinda akituambia train ilianguka ju ya speed.
Yeah sure, and gravity prevented it from flying into space after the accident caused by centrifugal force. ๐คฃ๐คฃ๐คฃkwahiyo train ilisukumwa na kitu gani ikatoka kwenye reli? niambie wewe msomi ๐
Wapi hakuna kila kitu?Dar ni jiji zuri sana. Lina kila kitu, ndio raha ya kuishi Dar hiyo. Jiji tamu sana hili ๐ฅ๐ฅ
Your 2nd hand train has derailed less than a year after the launch. ๐คฃ๐คฃ A new world record of unreliability.Nikikuuliza kama hata ulishapanda treni ya Umeme nitakuwa nakuonea....au tuseme ulishawahi kuona EMU kwa ukaribu hata 100m? Au wewe mambo haya unayaonaga tu kwa TV!?
Dar ina kila kituWapi hakuna kila kitu?
Shs 8 per Km is quite fair. Very fair in deed.That project will be funded by NSSF.