Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kipindi Cha Magu alirudisha UDA kwa Jiji na mkurugenzi wa Simon group alifungwa. Ndio maana serikali Sasa hivi Ina endesha kote.
BRT Morogoro road ilishakaa sawa kwa huyu mwekezaji mpya wa mpito Mofat na abiria wali anza ku enjoy usafiri mzuri sana full AC na hakukuwa na kusubiri sana vituoni.
Emirates ndio wata anza kazi January hiyo Morogoro road, then Mofat atabaki kwenye njia yake ya Mbagala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…