Hakuna mtanzania mwenye sura ngumu hivo na kiswahili cha hivyo anaoneka mkikuyu huyo maana ndo sura zao hizoThis Tanzanian was exposed for pretending to be crippled.
View: https://x.com/iamjoseh_/status/1994033693975892352?s=20
Ooh sasa nimeelewaTofauti ya Mbeya na Bondo ama Siaya ni nini? Yet those two places are barely considered towns in Kenya.
Mwai of kibera ukiwa kwa keja na unaliwa na kunguni huku unapiga nyetoAs a patriotic US taxpayer, I say you are welcome...😁😁😁
Ww omba omba mbona huandamanii... Nyambafffu tukushugulikieee, serikali iko imaraaHakuna mtanzania mwenye sura ngumu hivo na kiswahili cha hivyo anaoneka mkikuyu huyo maana ndo sura zao hizo
Ombaomba nyie machawa ambao megawa marinda kwa matapeli waliowadanganya watawape teuzi na bado bilabilaWw omba omba mbona huandamanii... Nyambafffu tukushugulikieee, serikali iko imaraa
leta airport ya Bondo!Tofauti ya Mbeya na Bondo ama Siaya ni nini? Yet those two places are barely considered towns in Kenya.
UMependeza sana mkuu, upo maeneo ganiii tukushoneee..tukukamieeeOmbaomba nyie machawa ambao megawa marinda kwa matapeli waliowadanganya watawape teuzi na bado bilabila
So airport is what makes Mbeya a City? In that sense Migori should be a City. Remember Migori is more developed than Mbeya.leta airport ya Bondo!
This is Mbeya, if this is what you call a city then you have a long way to go.Ooh sasa nimeelewa
Ukitoa dissing sio kweli kwamba Mbeya ni kama Bondo au Siaya.
Mbeya ni developed city na ni mji mkubwa umetanuka, Mbeya ina miundombinu mingi sana ila ipo scattered, kama miundombinu yake yote ingekuwa concentrated city centre basi ungeona skyline ya tofauti sana
Lakini fact ni kwamba, Mbeya ni jiji kubwa takribani 250km square, hii ni kaka 1/3 of Nairobi na population ni around 600,000 people
High school nimesoma Mbeya na sasahivi University nasoma huku so najua vizuri ninachokisema, Kutoka Iwambi hadi Uyole ni 22km na bado hii ni ndani ya city.
Kuanzia 2023 hadi 2025 May huu mji haukuwa na ujenzi mkubwa sana, but this December nimerudi nimeona kila sehemu wanafanya construction, kuanzia malls, hotels, schools, hospitals, roads etc ni kama mji umeamka ghafla. Within next 5 to 10 years Mbeya will be something else.
Na hata sasa naweza kukutajia vitu vilivyopo Mbeya, huko Bondo au Siaya hakuna.
Nipo capetown napambana sisubili kuliwa tako kama wewe ili upate utendaji kataUMependeza sana mkuu, upo maeneo ganiii tukushoneee..tukukamieee
View attachment 3513411
That's just a small part of Mbeya, tena hapo ni Mbalizi. Sio hata part ya Mbeya CityThis is Mbeya, if this is what you call a city then you have a long way to go.
Ooh sasa nimeelewa
Ukitoa dissing sio kweli kwamba Mbeya ni kama Bondo au Siaya.
Mbeya ni developed city na ni mji mkubwa umetanuka, Mbeya ina miundombinu mingi sana ila ipo scattered, kama miundombinu yake yote ingekuwa concentrated city centre basi ungeona skyline ya tofauti sana
Lakini fact ni kwamba, Mbeya ni jiji kubwa takribani 250km square, hii ni kaka 1/3 of Nairobi na population ni around 600,000 people
High school nimesoma Mbeya na sasahivi University nasoma huku so najua vizuri ninachokisema, Kutoka Iwambi hadi Uyole ni 22km na bado hii ni ndani ya city.
Kuanzia 2023 hadi 2025 May huu mji haukuwa na ujenzi mkubwa sana, but this December nimerudi nimeona kila sehemu wanafanya construction, kuanzia malls, hotels, schools, hospitals, roads etc ni kama mji umeamka ghafla. Within next 5 to 10 years Mbeya will be something else.
Na hata sasa naweza kukutajia vitu vilivyopo Mbeya, huko Bondo au Siaya hakuna.
Ndio kwa sababu Mbeya ina two city centres "Mjini" na "Mwanjelwa"
😂😂...Another 32 floors tower broke ground today in Westlands.
32-floor SIB International Centre
View: https://x.com/investwithSIB/status/1998041071817822574?s=20
View attachment 3513273
Anayechafuliwa hapa ni nani?Rudi darasani kaka ukajifunze siasa. Siasa za kuchafua watu ni za watu amateur. Umaarufu unatakiwa uujenge kwa kutumia msingi wako mwenyewe, siyo unajenga umaarufu kwa msingi wa kuwasimanga watu wengine.
Sina muda wa kusoma Insha zako. Hizo ni narratives zilizopo kichwani mwako hazina ukweli wowote.Anayechafuliwa hapa ni nani?
Kikwete mara kadhaa hadharani amekiri kuown mtandao na yeye kama mwanzilishi wa mtandao ndani ya CCM.
Juzi kwenye mahojiano na Rostam Aziz, Rostam amekiri uwepo wa mtandao ndani ya CCM yeye, Lowassa na Kikwete kama waanzilishi na viongozi.
Sasa nikuulize wewe uliye-enda darasani:
What significance does the establishment of these subgroups (mitandao) serve in any kind of organization - unity or division?
Ukiachia kukiri hadharani kuunda mtandao, pia kakiri kuwaresponsible na kumchomeka Samia kwenye VP na ndio aliyekuwa front hii juzi kwenye mkutano mkuu wa CCM kumvusha Samia bila kupata ridhaa ya chama kugombea urais kwa ticket ya CCM.
Yote hapo juu ni ya kweli na yenye ushahidi, ikiwamo ushuhuda wa mtajwa kukiri hadharani tuhuma hizi.
Sasa uchafu uko wapi?
Mtu anachafuliwa kwa kuenezewa shutma za uongo na zisizo na ukweli wowote. Hakuna mtu anayemchafua zaidi ya yeye kujivunjia heshima na sisi ni wajibu wetu kusema ukweli.
Sasa miaka yako mingi kwenda darasani umeshindwa kkutambua fasta jambo lililo uchi kabisa??
Unatengeneza vipi umaarufu kupitia imaginary name?
Who is Comrade Kipepe?
Jibu tu maswali mafupi na rahisi.Sina muda wa kusoma Insha zako. Hizo ni narratives zilizopo kichwani mwako hazina ukweli wowote.