Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

At least give credit to the original post
 
Concentrate on narrowing the ever-expanding GDP gap.
Kila mwaka gap inapanuka and apparently bongolala is working 'smart'. 😂 😂 😂
 
Schools are everywhere even Turkana has a University.
 
Mbona haujibu comment yangu? Au umeshaelewa tayari kuwa Mbeya sio level za Bondo au Siaya, au Migori. Hivyo vi town vyenu vidogo unavyotaka kufananisha na Mbeya City 😁😁
Have already replied you that even Turkana has a University. By the way search for JOOUST in Bondo ujue University sio Kitu ya kuringia wakenya.
 
Have already replied you that even Turkana has a University. By the way search for JOOUST in Bondo ujue University sio Kitu ya kuringia wakenya.
Nimekutajia more than 8 universities all in Mbeya. Nataka ukubali kuwa Mbeya sio kama Bondo au Siaya when it comes to universities
Ukishakubali nihamie kwenye hospitals
 
Nimekutajia more than 8 universities all in Mbeya. Nataka ukubali kuwa Mbeya sio kama Bondo au Siaya when it comes to universities
Ukishakubali nihamie kwenye hospitals
Mbeya is not a City and University can't make a place to be called a city.
 
Mbeya is not a City and University can't make a place to be called a city.
Wewe huelewi. Nimekutajia University zaidi ya 8 and I was just getting started
Nataka ukubali kwanza kuwa Bondo na Siaya hazifikii Mbeya kwa Universities. Acha kupretend as if nimetaja university moja, nimekutajia university nyingi. Tena Mbeya ina more than 15 universities ila nimetaja tu main
Ukishakubali kuwa Bondo na Siaya hazifikii Mbeya kwa number of universities niambie sasa nihamie kwenye hospitals
Nataka ukubali kimoja kimoja, baada ya hospitals, nakutajia viwanda, baada ya viwanda nakutajia miradi ya barabara, then schools, then markets, then hotels, then airport , then bus stations, then GDP, then population, then size ya mji na ongoing construction.
Nataka ukubali kimoja baada ya kingine. Kwani si wewe umesema Mbeya ni kama Bondo au Siaya? Sasa mbona hutaki kushindanisha number of universities.
Universities pekee haifanyi place kuwa city lakini as a city lazima iwe na Universities nyingi. Na baada ya kukubali issue ya universities, nitakuja sasa tushindanishe hospitals, na baada ya hospitals nitakuja na factor nyingine nyingi. Kubali kwanza kuhusu universities
Pia nataka tufananishe railway stations za Bondo na Siaya, tufananishe na hii ya Mbeya, na tuangalie dry port ya Mbeya, Bondo na Siaya ipi iko busy kuliko zote.

Maybe next time hutafananisha Mbeya na town za ajabu kama Bondo na Siaya

Acha tuone kila aspect Siaya na Bondo zina compare vipi na Mbeya. Ni wewe ndio umesema Mbeya haina tofauti na Bondo na Siaya, sio mimi
 
Nikiona miradi kama hii nasikia raha sana. Kwa sasa inapaswa tuanze kuvutia uwekezaji wa sekta binafsi nchini, ili tupate maendeleo ya haraka
ila nadhani standard ya hotels vyuoni huwa 4 star sidhani kama ma-lecturers wakiwa kwenye conferences wanakuwa booked 5 star hotels!
 
ila nadhani standard ya hotels vyuoni huwa 4 star sidhani kama ma-lecturers wakiwa kwenye conferences wanakuwa booked 5 star hotels!
Hawa nadhani wanataka kujenga hotel ya 5 star sio kwa ajili ya malecturer, bali kwa ajili ya kufanya biashara. Mty yoyote anayetaka ataitumia hiyo hotel
Kwa hiyo ni 100% possible watajenga hoteli ya 5 star
 
Si sawa umbali wa chuo na city center! UDOM kama kitovu cha elimu inapaswa kuzingatia pia incase ya Sympiom ama educational conference wageni watakaa wapi!
 
Si sawa umbali wa chuo na city center! UDOM kama kitovu cha elimu inapaswa kuzingatia pia incase ya Sympiom ama educational conference wageni watakaa wapi!
Kumbe hawana conference hall
Hata hivyo wageni pia wanaweza kukaa kwenye 5 star hotel kwa sababu ndio iliyopo, sio lazima 4 star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…