Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Always nakaa kimya kuhusu elimu, huwa naongea kuhusu Kenya vs Tanzania tu. Lakini wewe kila mara unakuja hapa unaanza kuongelea elimu yangu, wewe ndio unapenda kudiscuss kuhusu elimu yangu. Why?
Because you are an idiot.
 
Because you are an idiot.
Basi, mimi nitaendelea kuitetea elimu yangu every time ukiitaja. Kama hutaki kuisikia basi hakikisha hauongelei elimu yangu. La sivyo utazidi kuumia moyo bure, maana suala la mimi kuwa University student in one of the best Engineering schools in Tanzania linakuumiza sana 😆😆
 
Which school is that?
 

Kila kitu kina faida na hasara, horizontal vs vertical city building zote zina faida na hasara
Binafsi napenda Tanzania way of building cities, zinachukua sehemu kubwa kwa sababu kila mtu anataka kujenga nyumba yake, badala ya kubanana kwenye appartments, na watu wakijenga nyumba lazima huduma ziwafuate huko ndio maana unaona Dar 30km from the city bado kuna banks, markets etc though I agree it's costly
Halafu miaka 300 ijayo hizo nyumba hazitakuwepo mkuu, ardhi inatosha sana, lazima baadhi ya nyumba zitakuwa demolished, ardhi haijawahi kuwa kikwazo
Both ways zina faida na hasara, na kwa maoni yangu napenda style yetu ya ujenzi, kuliko ya Kenya ya kukaa kwenye appertments ili kuminimize land usage
Sisi hatuna uhaba wa ardhi
 

lkn siyo realistic kwamba kila mtu ajenge nyumba yake, kuna nchi kubwa klk tanzania na zina watu wachache klk tz lkn hawachezei ardhi hovyo kama vile tz, tz kila mtu akipata milioni 5 anakwambia najenga nyumba, hiyo ndiyo sababu sehemu kubwa ya wakazi wa dar ni informal settlement, sehemu kubwa hawana maji, hakuna drainage system mvua kidogo mafuriko mji mzima sababu hakuna mifereji au imezibwa na majengo ya watu, watu hawana address kwamba anaishi kwenye mtaa wenye jina na namba ya nyumba n.k. zamani karibia kila nyumba dar ilikuwa na namba na jina la mtaa official kabisa, ulikuwa unaweza kuchukua teksi na kumwambia dereva teksi nakwenda labda temeke mtaa fulani nyumba namba fulani na akakufikisha bila ya shida leo hii huwezi kuchukua teksi ukasema akufikishe labda kibamba au sijui mabibo yoote karibia ni makazi yasiyo rasmi hakuna maji, barabara wala viwanja vya watoto kucheza, hakuna open spaces sasa mji gani huo wenye watu zaidi ya milioni 5 na hakuna parks za wananchi kupumzika? ...
 
Tulia wewe, vitu vingine ni kosa la serikali sio wananchi
Acha watu wajenge ww, hizo nchi unazozjsema raia wake wanatamani sana kujenga nyumba zao wenyewe lakini haiwezekani kwa sababu ya gharama kubwa za ardhi na ujenzi. Hapa Tanzania kama watu wanajenga nyumba zao wenyewe ni bahati, hakuna ulazima wa kuishi kama Westerners. Hata mimi napenda nijenge nyumba yangu mwenyewe some day sio kukaa unalipa rent every month
Hayo matatizo ya shida ya maji, poor urban planning etc ni uzembe wa viongozi, sio aina ya ujenzi tuliyochagua
Wewe sema hupendi mpangilio mbaya wa mji, ila there's nothing wrong with everyone building his/her own house
 
Because Tanzania is better in other aspects more than technology ndio maana utakuta Universities nyingi kwenye hiyo list sio za Engineering bali ni za mambo mengine kama politics, procurement, law etc
Ulipaswa usearch best Engineering schools in Tanzania, ambazo in fact zipo chache

1. Dar es Salaam Institute of Technology (DIT)
2. Arusha Technical College (ATC)
3. Mbeya University of Science and Technology (MUST)
4. Sokoine University of Agriculture SUA (Hii ni kwa Agricultural Engineering)
5. Ardhi University (For Civil, Architecture etc.) hii ilikuwa branch ya UDSM before
Na hapa Ardhi wanatoa "Bachelor of Science in Civil Engineering" wakati MUST tunayo pure "Bachelor of Civil Engineering" ambayo ni practical based, sio Bachelor of Science
etc

Most engineers in Tanzania are from MUST and DIT, hivyo vyuo vya list yako ya top 15 sio list ya Engineering Schools, ni Universities kiujumla ambazo zinatoa kozi nyingi ambazo sio za Engineering

Fuatilia JF threads zinazoongelea Engineering Schools hapa Tanzania, utaona most people prefer MUST and DIT, cause we are the best 💪
 
You are confused, initially you said you were studying at the best engineering school in Tanzania but now when you do a list of best your school doesn't even appear among the top 2. Now tells me, how is best?
 
You are confused, initially you said you were studying at the best engineering school in Tanzania but now when you do a list of best your school doesn't even appear among the top 2. Now tells me, how is best?
Wewe Teargass ni kama una matatizo ya akili, unaelewa maana ya "ONE OF THE BEST"??? au muda wote unawaza dissing tu kama mtoto mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…