Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,818
Huyu naye anatakiwa asome alama za nyakati, wananchi hawataki hizo ngonjera za mama hiki mama kile, aache huo ujinga mara moja, tushatoka huko, asiudhi raia, afanye kazi yake inayompa ugali apige kmy, aache hizo ngonjera kunuka.
Tutaelewana Tu.Umepima kwa kutumia metrics gani?
Weka hapa specifications za Tanzania SRG na za kunyaland Chinese class one train ndio tupime which is better.
Cheap is expensive. π π π
Ndio tayari umeweka specifications?
Akitufunga shega. Tukimtandika furaha kubwa.Hatuna cha kupoteza mzee, tutapambana naye kucha kwa kucha, mdomo kwa mdomo, pua kwa pua, no retreat no surrender.
SGR yenu inakwama kila mara na bado haijaanza kubeba mizigo.Ndio tayari umeweka specifications?
Waaah hiii pillar inakaa kuanguka aki!!!