Kenya wanakopa sana, halafu hela zinaishia kwenye white elephant projects kama Talanta na wanajua ligi yao ni terrible. Hilo listadium libaya likubwa sijui watalitumia kufanyia nini AFCON ikiisha😂😂mwezi wa kwanza tu baada ya afcon watu wataanza kulia na deni lazima lilipwe
si wanaona wakina m7 na tz kujenga vidogo vingi hawana akiliKenya wanakopa sana, halafu hela zinaishia kwenye white elephant projects kama Talanta na wanajua ligi yao ni terrible. Hilo listadium libaya likubwa sijui watalitumia kufanyia nini AFCON ikiisha😂😂
Do you even know what county assembly is?Tungepost sisi ungeanza kusema ghorofa ni fupi, mara halifiki 10 floors
Sasa ona hilo jengo la Kisumu lilivyo fupi, lakini bado ni beautiful. Ndio muelewe for a building to be beautiful it doesn't have to be a skyscraper
why do you think building going up is considered development, thats a way to save spaceDo you even know what county assembly is?
In short ushaiona parliament yenye ni skyscraper?