Ukiwa na Rais anaongelea Parastatals za Tanzania kila siku, usitegemee lolote la maana!
ya garimoshi!
umepoa sana shida nn ama SHA wameondoka na ela yako, where are talanta photos?
hizi ni hospital ama pharmacyYani county moja in Kenya imejenga hospitali nyingi in 3 years than entire bongoslum republic.
View: https://x.com/StandardKenya/status/2016560571844272609?s=20