Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wananyegeswa na vimradi vidogodogo huko Ukunduni kuna Mwache dam inajengwa basi ni picha kila siku wasijue hata Tanzania kuna several of those!
Mbona Tanzania tunajenga
Kidunda multipurpose Dam, pale Ruvu River yenye ujazo wa 190 million cubic meters za maji na hatupigi kelele. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Umeshindwa cha kusema sasa.
Barabara ilianza kabla ya COVID unataka ku compare na barabara ilianza mwezi uliopita πŸ˜…
View attachment 3540035
Hiyo ni highway Tunduma-Mbeya! Ulicho-post hakihusiani na hiyo barabara Mbeya kuna barabara nyingi1 nA ISITOSHE UJENZI WA CHANGARAWE NA WA LAMI NI TOFAUTI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…