you might be charged of treason wait for the stadium to completeTell us please…
sasa karia nae sjui kwann aliwaongeza kwenye list, unaona sasa aibu ndogo ndogo izi mwishowe tutashindwa kuomba tenamimi naona kama hawa jamaa hawatashiriki! kumbuka 2027 ni uchaguzi!
cha ajabu mafuta yanauzwa ghali nairobi kuliko uganda, yaani ambae hana bandari anauziwa nafuuUtashangaa Kundustan bei zimepanda
View: https://www.instagram.com/p/DUXs2arjIJw/?igsh=MXFzejIwOXBpbXljNw==