Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That is Kenyan architecture. Look at the complex multi-layered roof and mid pitched roof. Roof zenu huwanga ndefu hadi nyumba roof inakuwa ndefu kuliko walls. That building would feel more at home in Nairobi or Nakuru than in Dar or Mwanza.
european architecture! ukunduni architecture unaipata Kibera!
 
That is Kenyan architecture. Look at the complex multi-layered roof and mid pitched roof. Roof zenu huwanga ndefu hadi nyumba roof inakuwa ndefu kuliko walls. That building would feel more at home in Nairobi or Nakuru than in Dar or Mwanza.
Abegistan na bongoslum hujenga the same type of houses. Very exaggerated tall ugly roofs.
 
Abegistan na bongoslum hujenga the same type of houses. Very exaggerated tall ugly roofs.
Sio kweli, nyumba za Tanzania mabati yake sio ugly na ni better kuliko nyumba za Kenyans ambao mnaishi either kwenye slums au affordable houses
Hii ndio design ambayo ni common kwa most middle income earners in Tanzania
Your browser is not able to display this video.
 
Ukiongea hivi mtu hawezi jua timu zenu za ligi kuu zinacheza kwa huu uwanja hapa. 🀣 🀣

Huu ni uwanja wa mpira au shamba la mpunga!? TFF haiwezi kuruhusu ligi namba 5 Afrika kucheza kwenye uwanja ambao haueleweki kama huo .

Kaangalie pitch ya KMC uwanja ambao imefungiwa, halafu linganisha na lile zizi la Ng'ombe kisirani sijui nyayo
 
Unaitwa Sokoine stadium. Club za Tanzania kubwa zote zinacheza humo at least once a year.

Huo uwanja upo hapa Mbeya. Ni uwanja mbaya. Hata leo nilienda kuupiga picha. Serikali inapaswa kujenga uwanja mzuri Mbeya. Huu wa Sokoine unatia aibu
 
Unaitwa Sokoine stadium. Club za Tanzania kubwa zote zinacheza humo at least once a year.

Ni kweli huo uwanja upo hapa Tanzania, tena Mbeya huku nilipo. Leo jioni nilienda kuuangalia hata sijaupenda. Niliupiga picha kwa nje
 
Kama abegistan kabisa, exaggerated roofs alafu no greenery, ni kujaza cabro compound yote. Ni vile tu Nigerians build bigger houses but everything else remains the same.
Most of your Kenyan people don't even have beautiful houses. Huwezi kufananisha na Tanzania.
Hiyo nyumba ipo Dodoma ndio maana wengi wanaokaa huko hawaweki greenery, ni semi arid area
Ila maeneo mengi Tanzania watu wanaweka garden mbele ya nyumba
 
Most of your Kenyan people don't even have beautiful houses. Huwezi kufananisha na Tanzania.
Hiyo nyumba ipo Dodoma ndio maana wengi wanaokaa huko hawaweki greenery, ni semi arid area
Kenyans are very diverse, all types of architecture utazipata tena kwa wingi. Sisi sio kama nyinyi, nyumba munajenga zinafanana, magari zenu ni Toyota kwa wingi, chama ni CCM, mziki ni bongo. Kenyans don't have a culture of strong conformity like bongolalas.

Anyway back to the point, ety hawaweki greenery ju ni semi arid. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ What a pathetic excuse, Nigerians and Tanzanians build the same type of houses with little to no greenery at all. You ain't beating the allegations.
 
Hapo mimi nimekuonesha nyumba ya kawaida tu. Haya angalia hii hapa ipo Runda, one of the richest neighborhoods in Kenya. Hii roof sio ndefu?
Most houses in Runda zina tall roofs just like this

Your browser is not able to display this video.

Halafu Dodoma ni semi arid area. Nikikuonesha neighborhoods za huku Mbeya zilivyo green utashangaa. Nyinyi wananchi wenu wengi hawana uwezo wa kujenga ndio maana mnajenga affordable houses everywhere. Na masikini ni masikini tu, soon hizo affordable houses zitakuja kuchakaa na kuwa kama ile street yenu chafu, inaitwa Pipeline. Maghorofa yamechoka, chini matope yamejaa kwenye Barbara as if pamepakwa mavi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…