Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuwadanganya wakenya raha sana, imagine mtu anawaza london na hali halisi ndo hii

View: https://x.com/MutumaoNkanata/status/2002404635873509865?s=20
Waje Mbeya tuwape maharage wasije wakafa njaa πŸ˜‚πŸ˜‚
God, Tanzania is blessed. Yani huku hata Dodoma na Singida ambazo kwa Tz ndio tunaona zipo dry lakini wanalima mahindi ya kutosha kulisha Nairobi yote kwa mwaka mzima
Hii picha nilipiga jana mchana na hapo temperature nzuri (16Β°C). Yote haya ni maharage. People from North East Kenya wataeema this is AI πŸ˜‚πŸ˜‚
 
uko ndo panalisha nchi nzima
 
You people love to be in Kenya. Mtanzania akipata Tu pesa kidogo hivi anakimbilia KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi ni lini Tanzania itaacha kuwa Kenya's role model. Hata wasanii wenu ni mpaka wacopy mziki wa Tanzania ndio wanapata views
Kama huyu mwenzenu, aliamua tu a copy Bongo flava 100% maana ndio ilikuwa last option πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://youtu.be/R_DeQhQcTKE?si=VDyFR7sO6ce15FaH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…