Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usishangae hata huko Dar is a slum wengi wao hawajawai tumia escalator. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Unajua huko kwao malls ni vitu za matajiri tu. 70% of Dar is a slum is slums na shamba za mihogo na hizo area huwezi pata malls.
 
Ndio,
Wagons za Tanzania ni ndefu zinaweza kubeba containers mbili kwa kila wagons.
Sasa ile doublestscks walizokuwa wanashangilia ni nini. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na mbona waliacha kubeba!
wacha maswali yasiyo na maana mzee! Doublestack wagon pia inawezekana kwa wagon ndefu! Pitia design ya ujenzi wa SGR Tanzania! usiwe mbishi hata Ukunduni ukiangalia vizuri zile container za chini ni mbili na fupi na ndivyo inavyotakiwa kwenye kubeba doublestack wagons! Ya juu inakuwa moja na ndefu kwa usalama!
 
Mzee hujui kusoma au huwa unasoma na mihemuko! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Post yangu mbona inakubaliana na ulichoandika, mbona hakuna ubishi hapo!
 
Usishangae hata huko Dar is a slum wengi wao hawajawai tumia escalator. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Unajua huko kwao malls ni vitu za matajiri tu. 70% of Dar is a slum is slums na shamba za mihogo na hizo area huwezi pata malls.
πŸ€£πŸ˜‚ so inamaanisha huko malls zinatumika tu na upperclass , wasanii, politicians na the super rich...basi Inafaa washukuru sana TRC kwa ku install escalator kwa hio station hapo dar ... otherwise wengi wao wangebaki kuona escalator tu kwa movies nakusema ni AIπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...
 
Kumbe towns zenu huwa ni small sasa ndio tumepata ukweli toka kwenu maana kila siku mlikuwa mnabisha hapa tukiwaambia vitown vyenu vidogo mmebanana kama kumbikumbi mkawa mnabisha sasa mambo hadharani.
 
Usishangae hata huko Dar is a slum wengi wao hawajawai tumia escalator. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Unajua huko kwao malls ni vitu za matajiri tu. 70% of Dar is a slum is slums na shamba za mihogo na hizo area huwezi pata malls.
Inakusaidia nn wakati mna njaa? Hizo escallator unapanda za nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…