NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Hii hasira yote yet hujajibu swali rahisi. Does Arusha city have an escalator?Arusha is proper city mzee wacha ufala! None of ur cities za upuuzi can match Arusha! be it on quality facilities or entertainment! the only thing that was missing was standard airport that is now there n round the clock wakati Bus terminal na Samia stadium zinajengwa!
Utaonaje na hujatizama video!Mbona sijaona escalator hapo?
Acha ushamba angalia wazungu huko wakipiga picha escalators in ArushaHii hasira yote yet hujajibu swali rahisi. Does Arusha city have an escalator?
Hiyo hapo nyingine PAPU towerHii hasira yote yet hujajibu swali rahisi. Does Arusha city have an escalator?
Machawa wa Ruto hawapendi kuona mkipost hizi habari. 😂😂😂Borrowing from Peter to pay Paul and the vicious cycle continues.
Govt Borrows Ksh290 Billion in Rush to Beat Debt Deadline
The strategy to clear the 2028 and 2032 Eurobonds has been considered a key step in stabilising Kenya’s debt and protecting the economy from future financial shocks.www.kenyans.co.ke
Seriously Arusha city isiwe na escalators?Mbona sijaona escalator hapo?
Bongoslum is a 1 city country. 😂 😂 😂 For example, Jetour the Chinese car brand ventured to the East African market with showrooms in Nairobi and Dar is a slum. Recently they opened a showroom in Mombasa with more planned for Kisumu, Nakuru and Eldoret. Huko bongoslum nje ya Dar ni ngumu sana upate a global company with presence outside Dar is a slum.Market centers in Kenya have malls but a city the size of Kisumu in Vumbistan hakuna mall ya maana.
Yes, the ones that you are proudly comparing with your biggest cities are indeed small towns , na hakuna mtu amebisha punguza usingizi...there are also bigger towns like Meru, kericho,Thika,naivasha,chuka malindi,kisii e.t.c ambapo zingekua huko kwenu mngezi classify as citiesKumbe towns zenu huwa ni small sasa ndio tumepata ukweli toka kwenu maana kila siku mlikuwa mnabisha hapa tukiwaambia vitown vyenu vidogo mmebanana kama kumbikumbi mkawa mnabisha sasa mambo hadharani.
Na mbona mnaita Town badala ya village? Au ni ule ugonjwa wa international airports n stadiums?Yes, the ones that you are proudly comparing with your biggest cities are indeed small towns , na hakuna mtu amebisha punguza usungizi...there are also bigger towns like Meru, kericho,Thika,naivasha,chuka malindi,kisii e.t.c ambapo zingekua huko kwenu mngezi classify as cities
Chuka town. View attachment 3546530View attachment 3546531View attachment 3546552Thika town.View attachment 3546555View attachment 3546557View attachment 3546556kisii town.View attachment 3546549Malindi town.View attachment 3546544View attachment 3546545View attachment 3546546Kericho town.View attachment 3546551
Hii hasira yote yet hujajibu swali rahisi. Does Arusha city have an escalator?
sio mradi kwel huu 🤣 🤣Nimejaribu kuchangia kumbe namba Ina fulizaa
View attachment 3546528