Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Kwa hali ilivyo Ukunduni sishangai mnunuaji akawa Mtanzania!yaani hii nchi hali walionayo ni wa kuhurumia
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2029776485590913172?s=20
aaah hapana aisee sisi tuendelee na cement na media uku kwingine sio poaKwa hali ilivyo Ukunduni sishangai mnunuaji akawa Mtanzania!
sio CBD apo 🤣 🤣 🤣 , onyesha CBD pamejaa then nkuonyesha cbd ya kenya
imagine na wengine mpaka airport panavuja, na ni capital ya afrikaWakenya ndio wamesababisha hii sio. 😂 😂 😂
View: https://x.com/Bapraise25/status/2029216852153335889?s=20
onyesha CBD yoyote tanzania pakiwa ivi