Imegeuka na kuwa bakuli ya githeri dailydaily dose amna tena?
Kwa kina Kibaki huko π
Wazee wakupika data hao na hali yote hiyo utasikia GDP ni usd 200bn ili asipitwe na aweze kukopa zaidina wanvoelekea itafika siku utaskia GDP ya mwaka huu imeliewa na amna atakaeshangaa π€£
Uchumi wa kenya ni consumption based mtindo huu huwa na vipindi vya boom and bust cycles.hawa jamaa wanakamua pesa sio kawaida, ni kama wanashindana kudefault nchi
View: https://x.com/Goddie_Ke/status/2029878397774545200?s=20
Dar is a low land area how about Nairobi altitude above sea level? Mbona hatusikii mafuriko Arusha au moshi?According to bongolalas Nairobi ndio kuna mafuriko pekee hapa sio Dar is a slum
Natural landscape ya Nairobi huijui. Usiwe pumbavu.Dar is a low land area how about Nairobi altitude above sea level? Mbona hatusikii mafuriko Arusha au moshi?
Embu tuelezee hiyo natural landscape ikoje tuijue ili tu verify kuwa sio kosa la urban planning na kina Sakaja hawahusiki na hiyo hali.Natural landscape ya Nairobi huijui. Usiwe pumbavu.
Nairobi is built on a highland and savanna low lands. Hii kitu nishawai sema hapa and sina wakati wa rudia in detail.Embu tuelezee hiyo natural landscape ikoje tuijue ili tu verify kuwa sio kosa la urban planning na kina Sakaja hawahusiki na hiyo hali.
According to wakunya hata Dar kuna mafuriko kama hayo lakini serikali imekataza media kupost. πππ