Talanta eeeh, umeona Hoima wameweka siti za WW1?Design za ki Africa, kama talanta mwanangu 🤮🤮🤮🤮🤮
hehehe eti willy paul mchafu..yule Willy Paula Mchafu hajatoboa tu?
hii ni finished country bana, naona Ruto kasema wapelekewe msosi majumban sasa nawaza jamaa alivo mpigaji hio menu itafika kweltena?