Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Timu ya ndanda ilianzia ndanda baadae ikachukuliwa na mkoa baada ya mfadhili ndanda drinking water kushindwa kuiendeshaTimu ya Ndanda huwa inatumia uwanja wa Nangwanda Stadium ambao upo Mtwara mjini. Hii Ndanda haipo Mtwara mjini, ipo wilaya ya Masasi lakini nfani ya mkoa wa Mtwara
Japokuwa timu ina jina la Ndanda ila wao wapo Mtwara mjini, sijajua sasa kama hiyo timu originally inatokea huku
Huyu akiwa Tz anasifu akitoka nje anabadilika tumemzoeainaonekana hii SGR ya tanzania anaipenda sana au inamuumiza kichwa 🤣 🤣
View attachment 3555481
Hivi samia ashawahi ongelea SGR Ukunduni?inaonekana hii SGR ya tanzania anaipenda sana au inamuumiza kichwa 🤣 🤣
View attachment 3555481
The city under the water
Yani nyumbani kwako kuna pizza halafu uanze kutamani githeri ya jirani yako 😂😂Hivi samia ashawahi ongelea SGR Ukunduni?
Nairobi iko na POOR INFRASTRUCTURE. Mnatetea ujinga tuMore than that upper zone kabete,it was over 200mm Saturday early morning View attachment 3555352
alivokua anaongelea NSSF alikua wap? alivokua anaongelea inter regional trade alikua wap?Huyu akiwa Tz anasifu akitoka nje anabadilika tumemzoea
tema mate chini, mambo ya kerosene tushaachana nayo mda, infact bei za mafuta zimepanda sjui watapandisha nauliHivi samia ashawahi ongelea SGR Ukunduni?
cholera under the sunThe city under the water