Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya yamekuwa yakisemwa humu kwa miaka 14 sasa tangu nijoin hii forum 2012.
Sio kweli,maendelea kwa dar es salaam ni makubwa sana kwa hiyo miaka unayoisema,barabara zimejengwa sana,fly overs zimejengwa,bandari imejengwa sana na still inajengwa,hospitali zimengwa sana.Mabasi ya mwendo kasi yanazidi kuongezwa.Angalia ni kampuni ipi inaonesha ligi ya mpira wa miguu ya kenya?Hiyo ni kampuni ya wapi?Tuangalie facts bro tusongee bla bla
 
Wow 60m ?
Apparently the Singa Poorians are reproducing like rodents,
Starehe ya maskini ni Ngono,
Na hawa wakunya lazima wamefika 70m maana huwaga wana tabia ya kujipunguza.
Kanchi kadogo, fukara, slums kila pahala ila sasa wanazaliana kama panya.
Jobless rate ni kubwa kazi iliyobaki ni kupigana miti tuu
 
na kwa hiyo half 90% wanakaa kwenye less than a 1/3 ya hiyo half
 
Objective ilikuwa kupiga hela tuu kwasababu wanajua wakenya wanapenda vitu kama vya ulaya na marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…