babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
yaaani wiki nzima wanaiongeleaHii ya NMG imewauma sana hawa Nyangau
daily dose hioMbona hakuna tofauti na zile za mwanzo walizozindoa ati ni sample! πππ
View attachment 3558673
mpaka route ziko zikamilike maaana yanahitajika mabasi zaidi ya 1500, naona ule upande wa mbagala hawatoi leseni ya daladala tenaMabasi sijui kama yashafika yote!
mpaka route ziko zikamilike maaana yanahitajika mabasi zaidi ya 1500, naona ule upande wa mbagala hawatoi leseni ya daladala tena
wanazishikilizia na mawe? hehee imekuwaje?Mbona hakuna tofauti na zile za mwanzo walizozindoa ati ni sample! πππ
View attachment 3558673
Au hiyo project mmiliki ni mchina! πππwanazishikilizia na mawe? hehee imekuwaje?
vita si kazi kama nyingine? mbona kelele?Nimecheka kama mazuri aise!πππ
View attachment 3558714