Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

u r a cheap destination! nothing to brag about JW Marriott!

View: https://www.instagram.com/p/DWGTX-7FRbv/?e=eed10df7-2732-4c7b-bc8f-bdca26c4cea9&g=5
 

View: https://www.instagram.com/p/DVqhuhOEp98/?e=e312f23f-8c52-48f2-abbd-98aea12ffd2e&g=5

View: https://www.instagram.com/p/DVghY9pmn1-/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==

View: https://www.instagram.com/reel/DVbUXuomrnr/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
 
Nchi zote za NATO ziko upande wa Ukraine, inakuwaje hawa NATO njaa wa mchongo kunyaland wapo upande wa Russians?

Ndio maana hata waziri wao musalia alijibiwa kwa dharau maana kunyaland ni nchi ya kimang'aa
yule mrusi anaesambaza HIV ushamsahau walivomshobokea
 
Uganda na zanzibar waliambiwa waongeze uwanja mmoja mmoja, kuna uwanja uganda wanajenga unaitwa "AKIBUA" alafu kuna mpya unajengwa zanzibar unaitwa "FUMBA" apo tayar viwanja vimekamilika maaana kenya walikua na viwili talanta na kasarani ila sasa ndo ivo mkandarasi kanuna akavunja vifaa 🤣

ila hili tuliliona toka mda tukawa tunasema apa chance yao ni ndogo sana, ukizingatia hata fees za caf yenyewe hawajalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…