Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

H
Hapo hakuna kitu
Hata wakati wa EACOP mlisema hivyo ila ilikuwaje?
Our target si Kampala bali mpondwe border,
Kwa taarifa tu kutoka isaka mpaka border ya Uganda zinahitajika km400 wakati isaka kwenda tabora ziko zinajengwa.

Lakini tayari sisi tushafanya negotiation na Congolese Ile reli ya musongati ipitilize mpaka drc , mind you reli ya Burundi ni kama yetu sababu pamoja na mengine yote nickel yao lazima iwe processed Tanzania kwa kiwanda ambazo serikali inaumiliki wa 16%.
Burundi wanajenga 78km ambazo zote tender na usimamizi uko chini ya trc Tanzania .
Kumbuka kutoka kalemie kuna reli inafufuliwa nayo trc wako kule🤣🤣🤣🤣. Siri mtakuja shtuka mmechelewa
 

View: https://www.instagram.com/p/DUF26RXjKcp/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==

View: https://www.instagram.com/reel/DTumJjzDM58/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
 
BTW Avani Hotels belong to MINOR Hotels AND NOT Marriott!
 
Only a fool can compare the two. Najua unaumwa Ritz-Carlton haiko Zanzibar. Pole sana ulianza kuturingia inakuja Zanzibar kutoka kitambo, sahii inakuwasha mbaya sana iko Kenya. 😂 😂 😂
The company that was to put 70 suites in Zanzibar is putting Anantara Resort with 229 suites by Minor Hotel group!

View: https://youtu.be/vNFRtUUHuEo?si=mNmvDwgctgQzaOuiAt $600mln Infinity group is currently hosting one of the largest resort project in the East ande central Africa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…