Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


View: https://www.instagram.com/reel/DWyL3lEjAzr/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Afcon 2027 hii maneno Africa watashuhudia imagine fans wanatoka Zanzibar wanaenda Nairobi wanaweza kuchukua flights ama boats mpaka Dar halafu bus mpaka Nairobi!
 
Alafu cha kuhuzunisha ni kwamba hiyo yao wamekuja kujengea nchi jirani alafu wanashangulia badala ya kuhuzunika
Walijenga mtungi Tatu Dar wakaona occupancy iko chini kama uchumi Yao ikabidi wamekimbilia Nairobi. Sahii wamekaa miaka kama Saba bila kujenga gorofa imepita 30 floors 😂. Westlands alone has more buildings over 30 floors under construction than the entire Dar es Salaam
 
Tukiwaambia uchumi wetu ni kubwa wanasema ni data za kupikwa. NSSF Tanzania could have easily built that tower in Dar but they know kwao Kuna low occupancy rates wakaona ni vyema waijenge Nairobi where office and residential spaces sell.

Try telling a bongolala that that's the effect of a bigger economy you'll be greeted with verbal diarrhoea
 
SIna muda wa kukuelewesha takataka kama wewe unayejua ila unaanza fuvu.

Wakenya mko hivyo.

Soon utamuja haoa kusema Tatu city is owned by Kenyans.
The problem is your low English comprehension level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…