Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If what you are saying is true, that our economy is based on consumption not production, how comes we have a bigger economy if we don't produce much?
You tend to have bigger economy by over borrowing then inflating almost everything during spending.
Badala kutumia eg. Sgr construction in Kenya is 7 mil usd/ km while in tz it's 4mil usd per/ km but electrified
 
You tend to have bigger economy by over borrowing then inflating almost everything during spending.
Badala kutumia eg. Sgr construction in Kenya is 7 mil usd/ km while in tz it's 4mil usd per/ km but electrified
Do you know how GDP is calculated?
 
How can you consume without producing? Where are those households supposed to get the money for consumption?
Gdp is not only production, it includes household , investment government expenditures plus exports minus imports.
Unaweza ukawa na matumizi makubwa ya both government na household ambayo hayatokani na internal production bali mikopo au remittance. Mfano ukiwa una reccurent expenditure kubwa itajumlishwa kwenye gdp sababu inahesabika kuwa unafanyA uzalishaji wakati hakuna.
Ili gdp iwe balance forex reserve iwe highly contributed na exports of goods and services sio kutegemea remittance ambayo ni non productive internally
 

Huyo kenge asipokuelewa hapa tena bhas ujue ni kiburi tu Cha kinyang'au..

Mkuu uko vizuri kwenye kucheza na prompts.
 
Huyo kenge asipokuelewa hapa tena bhas ujue ni kiburi tu Cha kinyang'au..

Mkuu uko vizuri kwenye kucheza na prompts.
Hawana uelewa wa elimu ya uchumi ,ndo maana wao huona sifa kuwa high valued currency pasipokujua Siri nyuma yake.
Ke
 
Ina watu 300k na ipo outskirt na ni slum! 😳😳
Other world cities outskirt of the cities are all green and spacious
View attachment 3571021View attachment 3571022
Hapa tunapowaambia Kenya uchumi wao uko kwenye matumizi tu, unajenga majumban kwa watu ambao hawana vyanzo vya mapato, hiyo hela badala wangewekeza kujenga visima vya maji au kutengeneza irrigation schemes kwenye maeneo kama mandera na turkana ili kupunguza population ya Nairobi na kuboost economic activity kwenye hayo maeneo badala ya ku concentrate central na southern kenya
 
Bongo watu wanataka privacy ni ngumu kukuta mtu na familia yake akiishi kwenye nyumba za dizaini hii
Kwenye issue ya makazi Kenya wapo kwenye level ya necessity wakati Tanzania tupo kwenye level of convenience sio bora tu nyumba, je hilo eneo/nyumba lina preferences za owner! Wakati Kenya wao ni bora uwe na paa kujikinga mvua na jua!
 
Ndio tatizo za siasa za kikabila, kila Rais anapeleka maendeleo alipotoka, Nairobi ipo vile tu sababu ni capital city, national economic center na tayari Muingereza alishaiendeleza, Mombasa ni sababu ni national overseas economic gateway lakini kama si hivyo hata hiyo Nairobi ingekua sawa na Turkana sababu hakuna Rais alietawala Kenya mwenye asili ya Nairobi,

Unaweza kuona ni maeneo tu ya Marais walitawala Kenya ndio yenye afueni huko kwengine hakuna mtu mwenye interest napo
 
Hua munapenda kuropokwa until data iletewe then muanze kusema ni fake.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…