Juu hamna pesa. How will you want to go watch a match in another country when even money for ticket in your own country you can't afford?sjaona mtz anataka kwenda kuangalia match kenya π€£
View: https://x.com/MwendaKev/status/2043010709630402670?s=20
Wachawi huongea hivi.imekaa kama ward ya vichaa!
Hiyo kitu ni mbaya budaa. πππWachawi huongea hivi.
Excuses reloadedπππIyo ya mbeya ni ya 1960βs while yakenu ni ya 2020βs n they actually look the same. πππ.
Leteni Stadiums zenu tulinganishe na za Kenya. Mbona unaogopa?π€£π€£πMakunya sahii tunayacheka hayana viwanja vizuri. πππ
Ndio nataka ubakie hukuhuku mchangani kwasababu ndio level zenu πππ tukiweka international stadiums za Tz unakimbia.Excuses reloadedπππ
Iringa Stadium
View attachment 3573139
Siaya Stadium
View attachment 3573140
kama hauna cha maaana cha kuongea nenda tu offline kaandae colgate na mask, you know talanta doesnt have those facilities why are you showing them to us sasa π€£
Sasa unaweza kujibizana nazo.? πππ utaanza kupost bukungu stadium.Leteni Stadiums zenu tulinganishe na za Kenya. Mbona unaogopa?π€£π€£π
leta uwanja wowote kenya wenye standard ya CAT 4, iwe nairobi ama nje ya nairobiLeteni Stadiums zenu tulinganishe na za Kenya. Mbona unaogopa?π€£π€£π
BAdala ya kuongea empty words ungeshaanza kupost picha zabviwanja vyenuππSasa unaweza kujibizana nazo.? πππ utaanza kupost bukungu stadium.
We mbilikimo tulia. Enda uzubae Kwa supermarket.Hiyo kitu ni mbaya budaa. πππ
So in short hamna stadiums za maana Tanzania?πππ€£πNdio nataka ubakie hukuhuku mchangani kwasababu ndio level zenu πππ tukiweka international stadiums za Tz unakimbia.
π€£π€£π€£πWe mbilikimo tulia. Enda uzubae Kwa supermarket.
saying the same person deeply in anger to make it to the tuesday protest because of 100 tsh added π€£Juu hamna pesa. How will you want to go watch a match in another country when even money for ticket in your own country you can't afford?
Tukubaliane, tupost international standards stadiums tu. πππ ready.?BAdala ya kuongea empty words ungeshaanza kupost picha zabviwanja vyenuππ
Wewe leta stadium yoyote kenya iliofika CAT 4 kokote nairobi ama lodwarSo in short hamna stadiums za maana Tanzania?πππ€£π
waitSasa unaweza kujibizana nazo.? πππ utaanza kupost bukungu stadium.
I'm fuelling my car daily without noise. Wewe hata generator huna.saying the same person deeply in anger to make it to the tuesday protest because of 100 tsh added π€£