si ndo nlichokua naongelea juzi, sudan, congo wote watajoin then Tanga itakua by itself ina revenues kuliko kenya nzima, infact lazima na wenyewe wawe na wateja sasa ile graph ya export vs import itakua x100, apo sasa ndo GDP inaruka mpaka 300B
tuletee ule yenu ya juzi ambayo mna umaskini wa kupindukiaActually ni ya 70s
Show me the photos of Uhuru stadium ( formerly national stadium before Mkapa took over the name).Hey, don’t forget the current look was done during Mkapa’s construction. I got receipts. But let’s see the 80s and early 90s look . You first …😆😆😆
umeongelea juzi hizi habari zipo humu 10 years back!si ndo nlichokua naongelea juzi, sudan, congo wote watajoin then Tanga itakua by itself ina revenues kuliko kenya nzima, infact lazima na wenyewe wawe na wateja sasa ile graph ya export vs import itakua x100, apo sasa ndo GDP inaruka mpaka 300B
BTW chance ya Tanzania kuwa na mafuta ipo pia!tz itakua nchi ya kwanza net exporter wa oil na haina visima 🤣 , Teargass kanuna sana baada ya hizo news kaenda kulia kwenye skybox
GAS ndo way forward, nlibadilisha ndinga inatumia GAS mda sana mafuta michosho sanaBTW chance ya Tanzania kuwa na mafuta ipo pia!
ulipost 10 years backBTW chance ya Tanzania kuwa na mafuta ipo pia!
maisha yana vituko, eti net exporter wa mafuta na hauna visima 🤣 🤣BTW chance ya Tanzania kuwa na mafuta ipo pia!
Hii Ndo skybox? 😁
and supporting infrastructure to the skyboxes
your being too personal sasa, grow up