Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mafuta hayawezi kuja kupotea kamwe hata tukisema nchi nzima itumie umeme, bado utahitaji oil, grease vyote vinavyotokana na mafuta

No mambo hayako hivo, kuna mda IMPORT is cheap than producing it, For example Tanzania kushakuaga na refinery Miaka ya nyuma, i can remember it ilikua inaitwa TIPER (Tanzania International Petroleum Reserves Limited)

Hii refinery ilikuja kufungwa sio kwamba mahitaji hayapo ila Income Vs Expenses vilikua dunia na kuzimu, na sio Tanzania tu, Kenya ni miongoni mwa nchi pia mwaka ya nyuma walikua na Refinery na walishaifunga mda sana

Infact moja ya kelele wakenya wanaolilia ni Ile yao irekebishwe ili mzigo usiende Tanga, So ukiangalia economics za mbelen sometimes hesabu zinaenda kushoto, So sometimes its cheap to import!

Geza Ulole
 
Ni masuala ya ufanis tu hata Leo ttcl ukimpa mtu private anaikuza vizuri mpaka unashanga, au hujui Airtel Africa ilitokana na ttcl?
Tipper kufa ni sababu ya menejiment tu, India wanaimport crude oil wanafanya refinery na kuexport , sasa kwani kwetu isilipe.
 
Sio rahisi ivo mwanangu, hizi ni big ones kuna hizo nmekutajia mfano cha Kigamboni na cha kenya



 
sijui huyu jamaa anatoa wapi hizi hoja zake? hata akieleweshwa bado anabisha!
mwanangu maisha sio marahisi ivo, infact ukiskiliza speech ya Dangote hua anataka Serikali zimuunge mkono, the only section i might agree with you ni kwenye ujenzi wa barabara na hizo other sections umetaja ambazo sina uelewa nazo , na sio kwamba nasema isijengwe NO, ila serikali iko na mradi wa $42B wa CNG na tayar ashaanza kuweka gas filling stations kila kona, if its for selling nje maybe ila i dont see working for the longest

pia hizi CNG zna kama national grid yake znasupply gas majumbani, sasa LNG + kujaza kwenye magari kuna competition kubwa sana, other appliance zingine kujenga lami maybe na kuuza nje na hizo sehem zingine
 
For me PERSONALLY and much of what i know and see, sioni kama itakua ni kipaumbele ndan! Kuhusu mafuta kungundulika nchini, i have no idea what will happen maybe watafanya kama bomba la Uganda 🀣

Mm personally naiona hio refinery kwa ajili ya EXPORT zaidi ya matumizi ya ndan, unless other appliances i amnot aware of
 
mafuta ya ndege? ujenzi wa barabara tutaendelea kuagiza tar/bitumen sio? gas za majumbani? wacha ubishi usio na maana!
 
Kaka, unatakiwa uelewe kwanza products zinazotokana na refinery ni nyingi, siyo mafuta pekee.
Tunapa:

Light Ends: LPG (Propane/Butane), Gasoline - Cooking fuel, passenger cars, light vehicles

Middle Distillates: Diesel, Jet Fuel, Kerosene - Heavy-duty trucks, aviation, home heating

Heavy Ends: Fuel Oil, Bitumen (Asphalt) - Ship engines, power plants, road construction

Specialties: Lubricants, Waxes, Petroleum Coke - Motor oil, candles, steel manufacturing, Plastic

By-products: Sulfur, Hydrogen - Fertilisers, chemical synthesis

Sababu za kuanguka kwa TIPPER mwaka 1999:

Uchakaaji wa Mashine na Teknolojia
Gharama Kubwa za Uendeshaji
Ushindani kutoka kwenye Soko la Dunia
Matatizo ya Usimamizi na Ubia
Kuingia kwa Sera ya Uliberalishaji
 
Anayejenga refinery ni Dangote. Siyo UG, KENYA wala Tanzania.

Hiyo refinery ya Kenya ni kama TIPER tu. Teknolojia ya zamani, ilishakufa na haifai kwasasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…