ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ukiwa na kinachoitwa uwanja harafu ndege haziwezi kutua usiku hiyo ni Air Strip.Kumbe air tz wana mabasi yanayopaa.? Na hausemi.? πππ
Heb tafuta walau kilosa ujadili nayo masuala ya miundombinu.
Tembe ni nini kaka?Haiwezekani kuifikia Kwa lipi kwenye hako kamkoa kalikojaa tembe?
Tanga Bado ni Kijiji sana tuu Kwa Mbeya,yaani hapo wanaponea hako kabandari ππMkimaliza bishana leten mapato ya Tanga na mbeya , mbeya jiji Ina bil28 Tanga Iko na 27bil kimkoa Tanga Iko na 60bil mbeya Iko na 90bil ,amueni nyinyi sasa nani yuko juu
Vijumba vya makuti,matope,mabati na uchafu kama huo.Tembe ni nini kaka?
Vipimo hivi ndio vinasababisha matakatka kama mbeya kuitwa eti ni majiji na yenyewe. Miundombinu lazima iwe ni kipimo cha juu zaidi kwa mji kupewa hadhi ya ima town au city. Otherwise tutazipa hadhi our overpopulated villages/ over crowded villages tutazipa hadhi ya jiji. Mbeya is just a rondom overcrowded village.Ujiji unalipima kwa mapato na idadi ya watu
Hata Kahama kaka kwa namna hiyo inaweza kuwa JijiMoshi town
Iringa town
Morogoro town
Shinyanga town
Bukoba town
Geita town
Musoma town
Singida town
Hizi zote ni zaidi ya Mbeya. Sijui ni nani aliipa hiyo mbeya hadhi ya jiji, aibu tupu wanatutia, jiji gani linapitiwa na barabara moja ya lami mji mzima.? πππ
Ndo mchele naoupenda all time ndo maana nmeujuaHaha wewe sema unaingisha kwenu tu ila ukweli kigoma Mchele hata UNGA uko bei ya juu kuliko hata dar
Dhahabu Kila Mkoa ipo Hadi Njombe suala ni scale.Kaka unataka kila madini yanayochimbwa Mbeya yachimbwe Tanga. Hata hivyo
Mgodi wa Dhahabu wa Magambazi-Handeni,Tanga.
View: https://www.instagram.com/reel/DJgL0kXMvTj/
si mnaletewa na treni ya umeme banahttps://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/permalink.php?story_fbid=pfbid02TVuZNJQsJegVXHZtSRQv9zebJyaTF2vfqjP74fVyanCtNfPLQXJSav2PaQUeeYPtl&id=61566378827317&__cft__%5B0%5D=AZZlvsWY2hYg-Ix_bXAF4BRdh0ygNo64_EypuuI4aWTg_pj5j6CsjZCwFPcWw14Qlb4WyuJkBJwy0RDMeYy7dbJ52u7deZGxUHTocPTgrZDoJE5vwMFRH6oxomBsRYztJWAvYhtNOUsa1FB0DIjqF4rC6tBqvsT61MqsfbW6Q53bdR0AMTjEMOYJqSDSve-m1C7QhQtj972OZ7V7wq-0-Kxq&__tn__=%2CO%2CP-R
πππ viongozi wetu walipuyanga bhana kuipa mbeya hadhi ya jiji. Waishushe tu, tujipange upya kutoa hadhi katika miji yetu.Hata Kahama kaka kwa namna hiyo inaweza kuwa Jiji
Ukisema Nguvu ya uchumi Mbeya inazidiwa na Shinyanga. Tena Shinyanga imezalisha mikoa miwili (Geita na Simiyu) But bado inaizidi Mbeya ki uchumi. But kwa maendeleo Tanga ipo juu ya mbeyaDhahabu Kila Mkoa ipo Hadi Njombe suala ni scale.
Je wewe unataka Kila mkoa kuwe na Bandari?
Nakueleza kwamba Mbeya Ina Nguvu kubwa ya Uchumi hapa Tanzania na wewe unajua.
Mlikuwa mnalingia tugorofa haya kwenye picha unaona nini hapa π π
View: https://x.com/i/status/2042845853023412451
alafu huo mchele ndo ulikua unauzwa bei ndefu kuliko wote, nliupenda kwa sababu vipunje vyake ni virefu kuliko vimchele mwingine ila ulivopikwa ulitoka much better than zingine alafu upo more clear whiteHaha wewe sema unaingisha kwenu tu ila ukweli kigoma Mchele hata UNGA uko bei ya juu kuliko hata dar
Moja Cha kigezo Cha kuwa jiji ni idadi ya watu na mapato, huwez kujenga barabara au masoko bila kuwa na mapato makubwa , kwa Tanga nje ya Tanga mjini hakuna wilaya inayoweza zalisha hata bil 6 kwa mwaka kama mapato ya ndani sasa utajengaje miundombinu ? Hiyo ni moja ya dalili ya kutokuwa na economic activity.Vipimo hivi ndio vinasababisha matakatka kama mbeya kuitwa eti ni majiji na yenyewe. Miundombinu lazima iwe ni kipimo cha juu zaidi kwa mji kupewa hadhi ya ima town au city. Otherwise tutazipa hadhi our overpopulated villages/ over crowded villages tutazipa hadhi ya jiji. Mbeya is just a rondom overcrowded village.
Opp,tafuta takwimu sahihi kwanza ndio uje KuandikaUkisema Nguvu ya uchumi Mbeya inazidiwa na Shinyanga. Tena Shinyanga imezalisha mikoa miwili (Geita na Simiyu) But bado inaizidi Mbeya ki uchumi. But kwa maendeleo Tanga ipo juu ya mbeya
Kaka tukiongelea Population mikoa mingi inaizidi Mbeya lakini siyo majiji. Na ukingalia kwa mapato Shinyanga inaizidi Mbeya lakini siyo jiji:Moja Cha kigezo Cha kuwa jiji ni idadi ya watu na mapato, huwez kujenga barabara au masoko bila kuwa na mapato makubwa , kwa Tanga nje ya Tanga mjini hakuna wilaya inayoweza zalisha hata bil 6 kwa mwaka kama mapato ya ndani sasa utajengaje miundombinu ? Hiyo ni moja ya dalili ya kutokuwa na economic activity.
Mbeya wilaya yenye mapato kidogo ni rungwe yenye 5bil .
Usidanganyike na majengo pia economic activity ni kipimo Cha kuwa jiji.
Ndo maana dar Ina mapato makubwa kuliko sehemu yoyote tz sababu ni economic hub
| Dar es Salaam | 5,383,728 |
| Mwanza | 3,699,872 |
| Tabora | 3,391,679 |
| Morogoro | 3,197,104 |
| Dodoma | 3,085,625 |
| Kagera | 2,989,757 |
| Geita | 2,977,608 |
| Tanga | 2,615,597 |
| Kigoma | 2,470,967 |
| Mara | 2,376,315 |
| Arusha | 2,356,255 |
| Mbeya | 2,343,754 |
| Shinyanga | 2,241,299 |
| Simiyu | 2,140,497 |
| Manyara | 1,892,502 |
| Ruvuma | 1,848,794 |
| Songwe | 1,644,353 |
| Singida | 1,370,637 |
| Kilimanjaro | 1,861,934 |
| Pwani | 1,164,285 |
| Mtwara | 1,634,985 |
| Rukwa | 1,540,519 |
| Njombe | 1,041,546 |
| Iringa | 1,192,072 |
| Lindi | 1,194,028 |
| Katavi | 1,153,231 |
Sasa tuambie kwanini Iringa siyo jiji? Also mikoa mingine huini hapo maana population ni kubwa sana kuzidi mbeyaOpp,tafuta takwimu sahihi kwanza ndio uje Kuandika
View: https://www.instagram.com/p/DHI7fgJoeJt/?igsh=dmVkMTFyN3V4aHJy
Hakuna jinsi lazima mafuta yasafishiwe Tanga mahali pipeline inapo land for local consumption and exports via marine tankers and trucks. It also makes business sense to rope in DRC oil via a short pipeline to the EACOP na pia South Sudanese oil. Pipeline ya Kenya itabidi iende Uganda Kwanza ikaungane na ya South Sudan ndio ishuke Hoima then Tanga.imewauma sasa wakina Teargass , ni kama haonekana tena online pamoja na nairobae and Nicxie
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/2048772403895927003?s=20