Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Constructor is already on site at Moi Stadium Kisumu. There's a visible ongoing work.

 
Ebu nionyeshe nilipoandika ukubwa wa eneo ndio tuendelee na mjadala.

Kwa point ya hapo juu, dhahiri unakubali maendeleo Kenya yako concentrated kwenye maeneo machache tu wakati Tanzania maendeleo yanasambazwa kona zote.
Anaye badilisha mjadala ni wewe na hii hapa ni proof.
 
Ebu nionyeshe nilipoandika ukubwa wa eneo ndio tuendelee na mjadala.


Anaye badilisha mjadala ni wewe na hii hapa ni proof.
Jamaa huwa anabadilika akishapatwaπŸ˜‚πŸ˜‚.

I'm still waiting for him to post an evidence that Dar collects more OSR than Nairobi which he was claiming in the morning.
 
Jamaa huwa anabadilika akishapatwaπŸ˜‚πŸ˜‚.

I'm still waiting for him to post an evidence that Dar collects more OSR than Nairobi which he was claiming in the morning.
He's projecting.πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Anajenga nani malaba? Kwa Bei gani?

Kwenye kuweka Umeme hiyo Reli ya mchina kwani mmeshamaliza kulipa deni? Maana Reli Iko chini ya uendeshaji wa mchina hiyooo... Sasa mturuki anaingia vipi kuweka Umeme nywele ngumu?
 
Hiki nini ?

Vipi hapa hukuwa unamaanisha kuwa collection Zinakuwa kubwa kutokana na mikoa ya Tanzania kuwa mikubwa kuliko counties zenu?


Hapa tunazungumzia aninisttative areas tu buda
 
 
 
Anajenga nani malaba? Kwa Bei gani?

Kwenye kuweka Umeme hiyo Reli ya mchina kwani mmeshamaliza kulipa deni? Maana Reli Iko chini ya uendeshaji wa mchina hiyooo... Sasa mturuki anaingia vipi kuweka Umeme nywele ngumu?
Anajenga nani, kwa bei gani? That's what you said about the expressway and the sgr ila kwa sasa zote zinafanaya kazi.

About sgr electrification, I talked about it many years ago on this very forum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…