Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picture this...umeenda Artcaffe, Java House, Creamy Inn, Debonairs, Subway, Galito's or any such outlet across Kenya. You sit down, the waiter/waitress comes to take your order then boom....niletee mihogo!
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Mtie ignore list anaongeaga pumba tu. Anataka lazima tunavyoendesha mambo yetu tufanane na wao, ndio ili eti miji yetu ionekane mikubwa.. sasa huo si uwehu kabisa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tayari yupo ignore list. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaa wamekasirika Hadi wakakubaliana kukuignoreπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£.

Huwa hawapendi kuambiwa ukweli🀣.
Hawa hua hawakubali kushindwa, ukiona wamepotea jua tu hawana comeback. Wameenda kutafuta na wamekosa. Wako karibu kurudi na story za mihogo and eating healthy.πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mihogo tunayokula bongo sio mihogo unayokula kwenu umavimavini, usifosi tufanane mzee. Hii menu pekee ni 40k- 50k Tzs. πŸ‘‡πŸΎ
View: https://www.instagram.com/reel/DXy18YQsPR2/?igsh=MWd6cWYxejNieHlrag==. Hizo chicken wings za KFC or whatever it is are very cheap compared to Mihogo we are eating in Tz.
 
Yani it has been in Kenya for roughly eight years and it already has 9 branches wakati Uganda imekuwepo for 21 years na ndio wako na 11 branches! When we tell minyamwezi nani ndio kusema ukanda huu wanaona ni mzaha
 
KFCs na takataka zingine ndio maana ya middle class.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuku za 10k Tzs ndio ziwezane na samaki mihogo za 40k - 50k.? Basi wazee mnayo safari ndeefu sana.
 
Mtu anayeponda mihogo umemuona lakini! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shida ni kwamba tunapigizana kelele na wapumbavu wanaotoka kwenye mapori huko kwao, automatically hao watu ni washamba, kwahiyo akisikia suala la mihogo anavutia taswira mihogo michungu ya kuchemsha kule kijijini kwao.. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanajikuta ni wazungu kumbe ni nywele ngumu, hawa nao ukoloni uliwapenya kweli kweli. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We are very different. Hizi restaurants za hivi zipo kama zote all around Tz n it’s not necessary for a single brand to own many outlets bcz people have money in Tz. Watu watu wa kawaida tu wana brands zao. Tz ni kama China tu mifumo yetu ya kiuchumi.. vibepari uchwara vinafosi tufanane. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hii menu pekee ni 300,000 Tzs. πŸ‘‡πŸΎ
View: https://www.instagram.com/reel/C8jD_GGtWXu/?igsh=bzU5eW91bDVpZWQ0. Huku hakuna monopoly wazee.. ndio vi brand ucharwa haviji huku vitajifia zake bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…