Tunajua ukikua utaacha. Utoto bhana!!
Rudia post za nyuma we have already posted why your country sold its assetsShow me any evidence that we defaulted paying our loans, ama hiyo pia ni inside info?πππ€£
NI kwel kabisa ata ruto ilikua ndoto yake kufika tanzaniaππHawapendi ukweli kabisaa, umekua ukiwaambia ndoto ya mtanzania nikufika Nairobi ,walikupinga ,now look at this oneπ, nafikiri inaweza Kua ni cousin wa yule mbilikimo. His dream has has finally come true and the little guy is excited to finally be in Nairobiπ€£π€£π....Nairobae, Mwaiofhawaii, Nicxie,Nairobiwalker... our guy Teargass has yet again been vindicatedπππ
View attachment 3585092
Emoji za vicheko nyingi. Mtu anaejiweza hawezi kuwa na ndoto ya kufika Nairobi kwasababu anaweza kwenda dakika yoyote. Kufika Nairobi kwa Mtanzania ni nauli yakovtu tena hata ya bus. Huyo content creator tu.ππππso in short unajaribu kusema huyo sio mtanzania sio!?... Okay, my bad then. Now help me understand.... so ni watu maskini kutoka arusha ndio ndoto yao nikufika Nairobi?πππππ
But unfortunately it cant even fund food for fellow kenyans, too badSafaricom can fund the governments of Rwanda and Burundi combined annually. π π
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2052263969872609338
Ni kwel even ruto dream was to visiti tzEvery Tanzanian always dreams to visit or live in Nairobi right from their President all the way to the street beggars. That's why you will find every Tanzanian here saying that they have been to Nairobi when in reality hata kufika Namanga border hawajafika.
So mkenya akikuambia ukweli nikua anamchukia mtanzania?...Tunawajua wakenya hamuwapendi watanzania.
What be the names of those slums surrounding the Chinese establishment?
Kwel kabisa they have homes and they make the most money meanwhile nywele ngumu artist struggles in mukuruππtrue, the evidence is on the wall ... their superstars and elite a majority of them have homes either in Nairobi or Mombasa, kule kama wanapiga story, one of their biggest flex nikusema " nimewahi kufika Nailobi"πππ
View attachment 3585110
Even the seats makes it stand outNow this is what makes Talanta Stadium to stand out. Very few Spectators watachomwa na jua, kule kwa wachawi come rain or sun ni kuchapwa bila huruma.π€£π€£π
View attachment 3585132
Maneno 1,000 ya mkenya, ni moja tu la ukweli, wakati mwingine ni zeroSo mkenya akikuambia ukweli nikua anamchukia mtanzania?...
Ndo nashangaaa kwann wanapingana na ukwel, eti hawaamini pale plastic Arena patakua na VAR na Goal line techhakuna haja upingane na ukweli.
Ndo nashangaaa kwann wanapingana na ukwel, eti hawaamini pale plastic Arena patakua na VAR na Goal linehakuna haja upingane na ukweli.
Tuwekee video akisema nairobi is london mke wa woria
Hawa jamaa kwanini majumba Yao ni chakavu sana na huwa hawasakafii?
Ebu tuone train inaopitia apo