Kwani pesa zakohawa nao kujishaua tuu njia 6 kwa traffic gani hapo ZNZ. 4 tuu zingetosha kwa sasa.
wanataka access ya mizigo Burundi na Rwanda! Tanzania inapaswa kuuliza access ya markets za Ukunduni vp? Somalia n Northern Ukunduni? au Ethiopia? do we get the same in return? R they offering a conducive infrastructure for us to transport?sasa inaunganika vp moshi na umeme, ingekua tz na uganda apo sawa
View: https://youtu.be/W_BB0sLWZdo
i think south sudan walihamia dar kama sjakoseawanataka access ya mizigo Burundi na Rwanda! Tanzania inapaswa kuuliza access ya markets za Ukunduni vp? Somalia n Northern Ukunduni? au Ethiopia? do we get the same?