Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Even Dangote knows Kenya is more economically superior than Bongo … his words not mine…
View attachment 3586559
Watu wa mdomo kubwa bwana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mafuta ya Uganda, anaijipa umuhimu Kenya, yeye kutwa kuzurura kuelezea habari ambazo yeye hazimuhusu kabisa. Uamuzi wa huu mjadala ni wa kati ya Tz, UG na Dangote.. nyie endeleeni kujitia tia tu kama ushuzi wa ngomani.
 
sasa mbna amekaa kama kila sehem katoka kupigwa 🀣 🀣 we fala Teargass kwan kila siku hua unapigwa
Teargass Hawezi akakataa alituwekea mshahara wake humu. Aliweka details za email yake kutoka kwa Shakira Mohamed kipindi kile alikuwa anafanya kazi ya Nursing Kampuni ya Sai Pharmaceuticals lakini alifukuzwa sasa hivi ni jobless
 
Shida kwenye oil importation mna include mpaka mafuta yanayoenda Uganda na Rwanda na South Sudan mnataka kumdanganya tajiri hii sio biashara ya nyanya ina wataalamu wa legal, policy and business they can read fine prints.
Dangote mentioned about Kenya's oil consumption not imports. Wewe unaongea vitu vyako.
 
Sasa unataka kufunza Dangote how to run his business. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hii ni maajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…