Atanunua wapi TOTAL anapeleka mafuta yote kwake they can all buy surplus oil tuu sijui kama itatosha ku feed refinery.The funny part is that Dangote might buy that crude oil from Tanga, transport it to Mombasa, refine it then transport it to Uganda again through Kenya Pipeline πππ€£π€£
Picha hapa inachezwa na Ruto kamuambia Dangote hawa jamaa wa TZ wamenifokea kuhusu kutangaza refinery itajengwa Tanga na hawa jamaa huwa ni wagumu sana kukubaliana na Kenya on many issues sasa wewe Tangaza itajengwa Mombasa ili waje wajishushe kidogo kwangu tupate compliance yao na pia tuwabane na commitment ya pipeline to Mombasa from Tanga. Anachoshindwa kujua Ruto Tz ni master wa diplomasia ya uchumu ukanda huu.
Museveni ndiye kasema hivyo!Kwahivo mnataka kuwe na refinery Uganda na Tanzania? Hivi unajielewa
Nyie ni wajinga sana sasa kama Tanga haina port depth TOTAL wanasafirisha vipi mafuta yao from Tanga? tumieni akili kidogo hizo ni siasa tuu za kimkakati.
Kisumu and Narok international airports hazikuweza ku-host?
Yaani unajua Bomba la gas linaishia Dar, maana yake wajenge bomba la gas kutoka Dar mpaka mombasa.Bado wana maumivu ya kukosa Bomba la UG.. so wanatafuta namna yoyote ya ku force kufaidi.
Hapo Dangote akijenga Tanga ndio Kasongo aseme alikubali iwe hivyo umuhimu wake uonekane... Hapo ni kwamba Dangote akija ni mazungumzo Yana anza upya na terms mpya... Kama hataki arudi mombasa tu .
Na ile ishu ya gesi nadhani Haina haja ya kuiharakisha sana kuipeleka msa... Ila kama wanataka sana bhas ifanyike feasibility kwa gharama zao na ujenzi ifanyike kwa gharama zao.. TZ iwasaidie ku secure ardhi tu ya Bomba kupita na security. Haina haja ya kuweka pesa nyingi hapo wakati kuna maeneo mengine ya nchi yamahitaji gesi kama Liganga huko... Na pia kuna miradi mingi ya ndani ya kwetu kuliko kufinance Bomba hilo ambalo returns yake Haina multiplier effect kwenye uchumi wetu wa ndani
they will host in 6 monthsKisumu and Narok international airports hazikuweza ku-host?
Ile siku mama anamuumbua ruto ilikuaje akatangaza yy kuhusu refinery kujengwa tanga pasipo kumshirikisha,naamini mama alishalijadili na mu7,yan ruto anataka kujifanya kama ile ni idea yake ikiwa TZ kama nchi tayari plan ya refinery ilikuwepo,binafsi napenda sana dangote kama ni kweli aendelee na huko msa au la kama Tanga basi ajenge pasipo kuwashirikisha kunyan,otherwise tutafute mwekezaji mwingine atakayejenga refinery pasipo uwepo wa kunyanBado wana maumivu ya kukosa Bomba la UG.. so wanatafuta namna yoyote ya ku force kufaidi.
Hapo Dangote akijenga Tanga ndio Kasongo aseme alikubali iwe hivyo umuhimu wake uonekane... Hapo ni kwamba Dangote akija ni mazungumzo Yana anza upya na terms mpya... Kama hataki arudi mombasa tu .
Na ile ishu ya gesi nadhani Haina haja ya kuiharakisha sana kuipeleka msa... Ila kama wanataka sana bhas ifanyike feasibility kwa gharama zao na ujenzi ifanyike kwa gharama zao.. TZ iwasaidie ku secure ardhi tu ya Bomba kupita na security. Haina haja ya kuweka pesa nyingi hapo wakati kuna maeneo mengine ya nchi yamahitaji gesi kama Liganga huko... Na pia kuna miradi mingi ya ndani ya kwetu kuliko kufinance Bomba hilo ambalo returns yake Haina multiplier effect kwenye uchumi wetu wa ndani
Are you using cocaine or meth? Juu vitu unaongea are non existence π€£π€£Picha hapa inachezwa na Ruto kamuambia Dangote hawa jamaa wa TZ wamenifokea kuhusu kutangaza refinery itajengwa Tanga na hawa jamaa huwa ni wagumu sana kukubaliana na Kenya on many issues sasa wewe Tangaza itajengwa Mombasa ili waje wajishushe kidogo kwangu tupate compliance yao na pia tuwabane na commitment ya pipeline to Mombasa from Tanga. Anachoshindwa kujua Ruto Tz ni master wa diplomasia ya uchumi ukanda huu.
Sasa wewe ndio unajua kinachoendelea?πππ€£Hujui kinachoendelea hapo
969m au 369m?
Kwani za Nigeria ananunua wapi?πππ€£Atanunua wapi TOTAL anapeleka mafuta yote kwake they can all buy surplus oil tuu sijui kama itatosha ku feed refinery.
Total will be using small ships, Dangote is planning to use Post - Panamax ships which no port in Tanzania can accommodate πππ€£Nyie ni wajinga sana sasa kama Tanga haina port depth TOTAL wanasafirisha vipi mafuta yao from Tanga? tumieni akili kidogo hizo ni siasa tuu za kimkakati.
they buy from the government and import abit of itKwani za Nigeria ananunua wapi?πππ€£
Kilimanjaro airport is closer to JKIA than Kisumu airport. Ni ngumu hapo kuelewa wewe mzee?Kisumu and Narok international airports hazikuweza ku-host?