Wazungu ndio kawaida yao alot of promises implementation nil hii yote ni to counter Chinese advances in Africa. it is high time now African tukatae empty promises wazungu hawako tayari kuona Africa ikiendelea sikuzote ni shamba lao kujipigia raw materials tuu.
Sasa si afadhali uandike kwa kijaluo tu? Punguza papara😎Did Dangote told you...
Also mpatie kuna part ya document ilitolewa mwaka 2004 kuhusu mafuta na gas Tanzania upande wa bahari. Hapo Tanga inasemekana kuna reserve ya mafuta 4 billion barrelsYes, in Lake Tanganyika, that's why TOTAL wanted the pipeline to pass via that route cause of the DRC and TZ oil fields owned by TOTAL.
Why wakati we have crude oil delivered to Tanga near global markets?Jengeni refinery huko basi
Anzeni na wale wazungu wamejaza your mining sector.Wazungu ndio kawaida yao alot of promises implementation nil hii yote ni to counter Chinese advances in Africa. it is high time now African tukatae empty promises wazungu hawako tayari kuona Africa ikiendelea sikuzote ni shamba lao kujipigia raw materials tuu.
Kama Tajiri kachagua Mombasa Ruto ni nani kumtaka afanye research to establish the location of oil refinery kati ya Tanga, Mombasa, or Lamu? Can you read the script kujua inakoelekea ama kichwa ni mtungi wa makamasi?
Same factors alizozingatia a multinational oil major TOTAL kwa location ya EACOP 😁Unaezapelekea Dangote hizi factors, sijui unaziweka hapa JF tukusaidie aje?😀
Embu mpeni mzungu wa watu Nairobi-Mombasa highway tuone kwanza inakuwaje? Wazungu wetu wa mining sector tuliwa summon wote na wakatoa a free carried share of btn 16 - 20% owned by government through TPDC, 5% CSR, 3% skills development levy, 30% corporate tax with an option for TPDC to participate in further share uptake, Hapa sijaweka PAYEE tax. Sasa piga hesabu hapo tunachukua kiasi Gani kwa mining projects. Pia muulize CEO wa Barrick tulimfukuza mzungu gani hapa Tz tukamwambia hatumtaki na kampuni ukafungwa sasa hivi Tz mining framework ndio model ya Barrick Gold kwa Africa nzima hatutaki mchezo sisi sio waabudu wakoloni aka British Bulldog Nyangau.Anzeni na wale wazungu wamejaza your mining sector.
Mwambie hata ile expenditure account lazima ifunguliwe kwenye bank za Tanzania. Kwahiyo manunuzi yote ya ndani na nje lazima wamuombe BOT awapatie dollar au dhahabu ndio wafanye manunuzi.Embu mpeni mzungu wa watu Nairobi-Mombasa highway tuone kwanza inakuwaje? Wazungu wetu wa mining sector tuliwa summon wote na wakatoa a free carried share of btn 16 - 20% owned by government through TPDC, 5% CSR, 3% skills development levy, 30% corporate tax with an option for TPDC to participate in further share uptake, Hapa sijaweka PAYEE tax. Sasa piga hesabu hapo tunachukua kiasi Gani kwa mining projects. Pia muulize CEO wa Barrick tulimfukuza mzungu gani hapa Tz tukamwambia hatumtaki na kampuni ukafungwa sasa hivi Tz mining framework ndio model ya Barrick Gold kwa Africa nzima hatutaki mchezo sisi sio waabudu wakoloni aka British Bulldog Nyangau.
Wahamishie morogoro na DodomaEmbu waanze haraka watuondolee kero ya malori mjini hapa na ICD zote zihamishiwe huko kibaha to complement Dry port ya Kwala
Hakuna script hapo, Dangote alishachagua Mombasa. Case closed.Kama Tajiri kachagua Mombasa Ruto ni nani kumtaka afanye research to establish the location of oil refinery kati ya Tanga, Mombasa, or Lamu? Can you read the script kujua inakoelekea ama kichwa ni mtungi wa makamasi?
Incase you don't have natural tears👇👇Kama Tajiri kachagua Mombasa Ruto ni nani kumtaka afanye research to establish the location of oil refinery kati ya Tanga, Mombasa, or Lamu? Can you read the script kujua inakoelekea ama kichwa ni mtungi wa makamasi?
The only thing Total considered was cost of land where the pipeline will pass.Same factors alizozingatia a multinational oil major TOTAL kwa location ya EACOP 😁
Muache awapange anavyotakanlimskia anaongelea tena tanga nkajua tu apa amna refinery