President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Itolee kwanza maelezo takataka hii ndio tuendelee. Hatuwezi tukaanza kujadili mambo mengine wakati umeweka uchafu.I'm sure hujaelewa Kitu umescreendhot🤣🤣😂.
Anyway, endelea kulia.
2 out of 6 Three level interchanges👇👇👇
View attachment 3590516
Shida yenu ni Ushamba🤣🤣😂.Itolee kwanza maelezo takataka hii ndio tuendelee. Hatuwezi tukaanza kujadili mambo mengine wakati umeweka uchafu.
View attachment 3590517
Majamaa wanazitetea huwezi jua majuzi wamediscredit Talanta stadium just based on those seats.🤣🤣🤣Kwani Leo hii poty zimekuwa good seats?😂😂🤣
Ushagundua tangu wajue Arusha Stadium itawekwa bakuli seats waliacha kuongelea seats za Talanta?🤣🤣😂.Majamaa wanazitetea huwezi jua majuzi wamediscredit Talanta stadium just based on those seats.🤣🤣🤣
Unaonaje hii story ya refinery? Tukuskize wewe ama tumskize Dangote?😃😃Really?
Dangote anataka soko zima la East Africa lisiwe dumping site ya oul products toka nje, hivyo ni lazima tuwe binded na hizo restrictions. Hizi kinds of restrictions tulikuwa nazo kwenye first East Africa Community na Kenya kwa kufuata myongozo wa Washington waliharibu na kuvunja yote na kuzuia assets nyingi za jumuiya zilizokuwa karibia zote huko Kenya.
Hatiwezi rudia makosa yale tena. Dangote kama mwekezaji yuko huru kuwekeza pesa yake atakako na sisi kama nchi, given Uganda pipeline, S.Sudan, DRC na sisi soon tuna hit oil ni lazima tuwe na refinary yetu.
Sasa yeye Dangote awekeza huko Kenya kwa kutegenea crude imports atakutana na mziki wetu wa refinery with local crude na regional market groves ziko off.
Ataisoma namba kama ilivyo jwa SGR.
Very ugly. Nje angalau wamejaribu kuficha ubovuUshagundua tangu wajue Arusha Stadium itawekwa bakuli seats waliacha kuongelea seats za Talanta?🤣🤣😂.
Alafu hiyo Stadium Yao is very ugly from inside🤣😂😂
Ushagundua tangu wajue Arusha Stadium itawekwa bakuli seats waliacha kuongelea seats za Talanta?🤣🤣😂.
Alafu hiyo Stadium Yao is very ugly from inside🤣😂😂
Hii nayo ni maumivu. 😂😂😂Very ugly. Nje angalau wamejaribu kuficha ubovu
Vumbistan hadi mkona interchange za vumbi. 😂 😂 😂
Look at the two. One looks like something designed by a kindergarten kid and the other one looks like a real stadium.Very ugly. Nje angalau wamejaribu kuficha ubovu
Nimecheka hiyo Kitu Sana. Yani Jamaa ameangalia interchanges Hadi mwishowe akaleta barabara ya vumbi🤣😂😂Vumbistan hadi mkona interchange za vumbi. 😂 😂 😂
Hivi vitu cheap tumewaachia wakenya.Inafaa ujifunze kushika chupa. Unakunywa soda na hasira Hadi unanyonga chupa.
View attachment 3590529
Huu ni utotoWiFi is common in Kenya but not Tanzania. I want us to do a challenge.
Post your screenshot I want to see how many active WiFi routers are around you, this is mine. I dare you to post something like this 👇👇
View attachment 3590137View attachment 3590138View attachment 3590139View attachment 3590140View attachment 3590141View attachment 3590142View attachment 3590143View attachment 3590144
Wewe ndio mjinga, SGR yenu inaishia kwa yard, haiingi ndani ya port. Kama inafika kwa port penye kuna berths na mizigo tuonyeshe tuone. Najua unajaribu kujustify the yard iko ndani ya compound ya port.Hivi unajua Dar port na boundary zake? Ujinga sio mbaya,ni kutokujua. Ujinga unakutoka ukieleweshwa halafu ukajua. Nakuelewesha SGR inaingia port,nimekutoa ujinga. Ukuendelea kubisha hutakuwa mjinga ila utakuwa mpumbavu.
Hii ndio the first time in my life naona interchange ya vumbi. 😂 😂 😂Nimecheka hiyo Kitu Sana. Yani Jamaa ameangalia interchanges Hadi mwishowe akaleta barabara ya vumbi🤣😂😂
Kalaghabaho.Wewe ndio mjinga, SGR yenu inaishia kwa yard, haiingi ndani ya port. Kama inafika kwa port penye kuna berths na mizigo tuonyeshe tuone. Najua unajaribu kujustify the yard iko ndani ya compound ya port.