Issue ikija kwa refinery sasa GoK cannot pay up it shares as it has very limited fiscal space. Hela zote kwenye madeni na upigaji.wakati mnaambiwa the economy is on papers mlikua mnasemaje Teargass?
View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/2056238353180406177?s=20
alikisema pia dangote, CBK haipo liquid, sio cha kushangaa sana as more than 20k companies have closed offices in pipeline because of the same problem, wao si hawataki kuexport wanataka bondsIssue ikija kwa refinery sasa GoK cannot pay up it shares as it has very limited fiscal space. Hela zote kwenye madeni na upigaji.
Hii nguvu yote,unatumia kuokota kota ma links kwa X kucheka wakenya wenye wako vizuri kiuchumi si you direct it kwa mama yenu afanye kazi..ona sasa mumeshuka mko number 12 ata hamko top 10..uganda itaja wapita kwa kasi...simple, sasa mgomo wa nn na watu wana disposable income
View: https://x.com/bbcswahili/status/2056256121224999368?s=20
Ila hapo TZ tunatia aibu,waondoe tozo hizo mafuta yashuke bei,mbona nchi zisizokua na bandari zimeweza!When its time to make real payment,, the wholegdp cocnept becomes useless 😂😂 why are you comparing yourself with other nations
View: https://x.com/georgenjoroge_/status/2056228953824579676?s=20