Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Road, The Port and The Skyline.

This is Mombasa.

View attachment 3590463
Sijawahi kuona empty port roads kama za Mombasa, yaani hakuna kabisa trucks, hivi mizigo huko inaondolewa kwa Bluetooth? Mombasa hakuna hata traffic jam πŸš₯🀣 Ndio maana bila kufake data Mombasa port ni kama bandari bubu yoyote Somalia
 
Zile namba za bandari yao zinafikirisha haswaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 3590101
Hakuna namna refinery ni lazima ijengwe Tanga mtake msitake, anachokifanya Dangote ni kutumia siasa ili alegezewe kamba apate unafuu, kwamba kwenye makubaliano GoT ifanye vile anataka yeye, na ndiyo mana anamtumia cheap leader kama Ruto, kamuhonga vipesa ili ionekane anaweza pia akajenga mombasa lkn hakuna kitu kama icho. Dangote sio kichaa na anajua kama atajenga refinery mombasa atakula hasara ambayo itamyumbisha sn mana kama ataijenga Kenya ipo siku kuna refinery itajengwa Tanzania, so hawezi kuwa chizi kama wewe.
 
Sijawahi kuona empty port roads kama za Mombasa, yaani hakuna kabisa trucks, hivi mizigo huko inaondolewa kwa Bluetooth? Mombasa hakuna hata traffic jam πŸš₯🀣 Ndio maana bila kufake data Mombasa port ni kama bandari bubu yoyote Somalia
Mmezoea inefficiency in your port Hadi mnadhani that's the norm everywhere.

When the port is efficient there's no need of having backlog of trucks in the road. Again our SGR is doing the heavy duty of carrying the cargo out of the port.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…