Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ila jamaa aliekua anafanya video kasema zna joto kinoma, nkakumbuka broila
Hizi zinatumia umeme mwingi sana kuna wakati tulikuwa na mechi Taifa kama mara mbili hivi umeme ulikatika zikashindwa kuwaka nasikia huchukua mpaka saa moja kuwaka katika full capacity kwa uwanja mzima tuliziondoa zote wao ndio wanaweka leo 🤣🤣🤣
 
Maoni yangu gas ya mtwara tusiipeleke kenya kwa hivi sasa maana hawa madalali hawana hawaaminiki,hasa suala hili la dangote na refinery
Kabla ya refinery kuamuliwa wapi inajengwa hell no! Halafu tuone wanachogombania kama watafanikiwa!
 
hii naikumbuka vizuri, daaha bora tuliondokana na yale mabulb
 
You are talking rumours. Give us evidence that Kenyans external debt is above 50%.

Baadala ya kuongea nonsense hapa ungepost Tu link.
Sasa kama logic hata hio ndogo unashindwa kuelewa unadhan more info will help you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…