Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwandishi wa hii article amesahau jambo moja kubwa na lamsingi kabisa:
Ndio maana nikiwasikia Wakenya na ujinga wao online, nawashngaa sana.

Toyota Tshusho report:
 

Attachments

  • 1779483264018.png
    139.4 KB · Views: 26
Mwandishi wa hii article amesahau jambo moja kubwa na lamsingi kabisa:
Ndio maana nikiwasikia Wakenya na ujinga wao online, nawashngaa sana.

Toyota Tshusho report:
View attachment 3593162
Hamna kitu amesahau ni wewe tu na uwelewa wako! she just chose to emphasize on the need to use the same technical team that won the pipeline in the negotiation process of the refinery! She is acknowledging their competence.
 
ATCL hawana watu wa masoko vizuri,badala ya route ya Mbeya -Dar daily wangeweka Mbeya-Dom-Dar daily.

Ukiangalia Wingi wa routes za mabasi kutoka Mbeya namba 1 ni Dar namba 2 Dom namba 3 , Sumbawanga na namba 4 Songea namba 5 (Arusha,Mwanza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…