Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kuhesabu imekushinda, rudi shule.
Umehesabu nini hapa juu ya hii flyover ya kifusi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎcan’t you see huo ni muinuko wa barabara.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au kifusi a.k.a flyover ya bei ya jioni.?
 
Duuh elimu yenu bado changamoto , hivi distribution network ya Kenya versus tanzania Ina utofauti wa kiasi gani?
Hamna uwezo wa kujenga dam fuatitilia hata bajeti yenu ya mwaka huu ya energy uone mlivyo nyuma sana kwenye kusambaza umeme.
 
Service lane za vumbi. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Only in bngoslum.
By the way barabara zap hazinanga service lanesπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£.

Alafu anakuambia ati service lanes ni requirements za barabara yet hao hawana hizo service lanes kwa barabara zapπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
By the way barabara zap hazinanga service lanesπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£.

Alafu anakuambia ati service lanes ni requirements za barabara yet hao hawana hizo service lanes kwa barabara zapπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
It's a new concept to them, si unaona sahii ndio wameanza kuplan kujenga their first ever clover leaf interchange. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wako nyuma kama matako.
 
nairobae niliona kuna kichaa moja alikuwa anapinga ati roads under Construction in Kenya hazifiki hata 200km.

This is as 2025 DecπŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3593446
Vizuri Kumbe mnajenga 1887.6 km sio 6100km kama rais wenu alivyodai na mpumbavu mwenzako aliyedai mnajenga barabara mpya 6100km , 🀣🀣🀣🀣🀣
Sasa nani mjinga kama sisi na nyinyi ambao mnadanganywa kujenga barabara mpya 6100km wakati kiuhalisia ni 1887.6km🀣🀣🀣🀣
 
It's a new concept to them, si unaona sahii ndio wameanza kuplan kujenga their first ever clover leaf interchange. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wako nyuma kama matako.
Mwenzako kaleta orodha ya km 1887.6 km mnajenga tafuta nyingine 1112.4km ndo twende kutafuta nyingine 3000km🀣🀣🀣🀣.
Tumewakamata kijinga sana
 
Bongolalas hate data ju hawakuenda shule, that's why they have stupid demands, eti mtu anataka aonyeshwe picha za 3000km of roads.
Umeambiwa ulete proof ya km 3000 umeshindwa mpumbavu mwenzio kajitutumua akijua anataniweza Kumbe ni 1887.6
 
Hiyo 1887.6km umetoka wapi? Kusoma ndio hujui ama? Maana ya selected ndio huelewi ama?πŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe unakuanga Tu fala.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…