REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,707
- 11,777
1-1 90mnts.Kuna vitu mnafaa kupunguza Kiburi.. hata tukitaka kuwashabikia kama East Africa mnaleta kiburi, oneni sasa mtalia peke yenu
View: https://x.com/iamfelixtz/status/2061919031045521715?s=46
Mtupongeze kama East Africa mmeanza lini tabia iyo?Kuna vitu mnafaa kupunguza Kiburi.. hata tukitaka kuwashabikia kama East Africa mnaleta kiburi, oneni sasa mtalia peke yenu
View: https://x.com/iamfelixtz/status/2061919031045521715?s=46
For one, pongezi kwa kufika Finale.. you deserve it.. sikupongezi wewe, napongeza vijana ambao wametia bidii na wale wenzenu wasio na kiburi kama weweMtupongeze kama East Africa mmeanza lini tabia iyo?
Hapo mmejaribu lakini1-1 90mnts.
World cup tutatembea nao huko huko, ila tuna dalili nzr sn kwenye soka kwa sasa. Na tumeanza kula matunda ya investments kwenye soka.Hapo mmejaribu lakini
Well done Serengeti Boys…keep that team together and in the next World Cup TZ might make some noise.
But we know if that was Kenya juniors, Bongolalas would visit waganga to put a spell on us…🤪
GDP calculated by local national statistics agency. Tanzania we will do it next year tutakuwa juu ya Kenya na nchi zingine ndogo ndogo.Tutaipiku Kenya doing wonders Economically 😂😂. Uganda now has a larger economy than Tanzania 🥶
View attachment 3600301