JF ni jukwaa huru siyo nyumba ya ibaada ya kuamini, na Uchumi ni reality siyo imani.
Ni kitu gani nimekiweka hapa na wewe unasema reality doesnt go that way?
Kama it doesnt make sense achana nayo, nlikua nakutonya tu kidogo and thats only 0.001% of what the central bank does, i have seen alot and when i say alot i truly mean alot, I know what actions central bank can take in a given condition thats why it was easy for me to predict that 8% inflation before it happend, because naelewa kinachoendelea mule ndan and its every country doing the same thing
Brother usiseme haijulikani kwenye jamii. Hicho kichaka cha kuwaona watu wengine kuwa hawajui ndio sikitaki. Maana nawewe vivyo hivyo unaonekana haujui. Kama umeshindwa tu kutofauti Net Open Position (NOP) Limits na Foreign Reserves, labda level yako ni ya chini sana ndani ya banking systemsMm sio mtu wa IT but i know a thing or 2 there, i based in finance however i was expecting you to react the same way because the banking system isnt understood by the public and ipo ivo maksudi
Shauri yakoBrother usiseme haijulikani kwenye jamii. Hicho kichaka cha kuwaona watu wengine kuwa hawajui ndio sikitaki. Maana nawewe vivyo hivyo unaonekana haujui. Kama umeshindwa tu kutofauti Net Open Position (NOP) Limits na Foreign Reserves, labda level yako ni ya chini sana ndani ya banking systems
Halafu tofauti ya pesa za IMF mlizokopa kulipia mkopo pesa zingine zinatokana na Remittances inayoitwa Proxy Money Laundering
Naona bado muko in denial, munapost picha za kwenye hajafanya finishing ndio mujiliwaze. Hii hamtoboi.Wafanye kazi mara ngp wakati kazi inaonekana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Itoshe kusema umeelewa kinachobaki ni ubishi tu.Shauri yako
Elimu muhimu.Aslimia kubwa ya pesa hizo ni mkopo kutoka IMF kwaajili ya kulipia madeni.
Mnakopa ili mlipe mkopo 🤣 🤣 🤣 Jinga kabisa
Aslimia kubwa ya pesa hizo ni mkopo kutoka IMF kwaajili ya kulipia madeni.
Mnakopa ili mlipe mkopo 🤣 🤣 🤣 Jinga kabisa
Source The Kenyan WallStreet tangu lini wakenya wakaandika ukweli? 🤣 🤣 🤣 Kenya imeshakufa kiuchumi msitafuta farajaBongolala bongo jinga.
View attachment 3606327
Story ya Februry. Leo ni mwezi gani kweli ndugu British Bulldog?Elimu muhimu.
Dollar reserves are actual hard dollars in possession of the Central Bank for exchange at any time.
That's why Kenya unlike Bongolala, does not limit dollar usage in the country. We have enough to go around.
View attachment 3606326
Kojoa ulaleSource The Kenyan WallStreet tangu lini wakenya wakaandika ukweli? 🤣 🤣 🤣 Kenya imeshakufa kiuchumi msitafuta faraja
Njaa inawasumbua wakenya wengi hata uwezo wa kuchanganua mambo mnashindwa. Henry Rotich na Gavana wa CBK wa sasa Dr. Kamau Thugge waliiangamiza Kenya baada ya kumshauri Kenyatta na Big PushKojoa ulale
View attachment 3606329
Ugandan budget imepita ya Tanzania. GDP per Capita yao ilishapita ya Tanzania as well.
I think it's now safe to say that Ugandan economy is the third biggest in East Africa after
Kenya
Ethiopia
Uganda
View: https://x.com/i/status/2064936556771840115
sema na wewe una ufala those were projections now give us the real dataUgandan budget imepita ya Tanzania. GDP per Capita yao ilishapita ya Tanzania as well.
I think it's now safe to say that Ugandan economy is the third biggest in East Africa after
Kenya
Ethiopia
Uganda
View: https://x.com/i/status/2064936556771840115